Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

Najaribu Ku figure out ile roho ya magu sio ya dunia hii.

Hivi hakuwa Lucifer.
huwa namfananisha jpm na visa nilivyoviona kwenye movie moja iliyomuhusu mtawala wa zamani aliyefamika kama alexander the great.

katika ile movie alexander the great anaonekana ni mtawala mwenye nguvu nyingi, jeuri, kiburi na katili akiogopwa na watu wake na wafalme wa tawala zingine.

mwisho wa siku ikaja kubainika kumbe yule ambaye kibinadamu anaonekana ni alexander hakuwa yeye bali ni lucifer yeye mwenyewe aliyeamua kuja duniani ku-posses mwili wa alexander ili iwe rahisi kukamilisha mission zake za kuivuruga dunia.

spiritually inawezekana roho ya jpm ilikuwa possessed na lucifer amtumie kuivuruga tanzania. Mungu akaona bora aingilie kati mapema kuepusha madhara makubwa ambayo yangekuja kutokea siku za usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli kwenye mwanzo 2016, na sakata la bandarini, Majaliwa anapeperusha USB dongles za ma insideman wake aliowapandikiza TRA, nilikoshwa moyo wangu, na kusema hizi ndio zile watergate scandals tulikuwa tunaziona kwenye movies tu.....

Down the line, ikawa mara huyu msaliti, oohh mara "nitawapoteza"
Ikaanza.. Ben sanane,,,,,(missing) Azory(missing),,,,,,,,Lissu attempted assasination.........sijui Mo kama ilikuwa movie ya kihindi lakini kulikuwa na harufu ya uvundo fulani..........
Haijapita muda "Mtaishi kama mashetani" ikawa kama umefanikiwa kibiashara wewe ni mwizi....Manji
Ikaja hakuna kuandamana wala kufanya mikutano kwa vyama vingine only CCM tu......

Nikajua Watanzania wameingizwa cha kike na huyu Kenge nduli dikteta
Ikawa ndio mwisho wa kuamini ushuhuda wa huyu Third World Messiah
Ilivyokuja Covid19, ndio kabisa nikajua hata ile Phd ni ya kubumba.........
comment yako ipo deep sana mzee.kuna vitu sio rahisi kuvisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ampende wapi kamkata moto fasta ili akampe Kickapoo vizuri uso kwa uso yaani saivi huko anakula ndonga za kufa mtu

Yupo Jahanamu anaugulia maumivu ... yule siku ya kwanza alipofika tu Malaika walimpokea kwa mitama mingi sana ngumi za shingo na mateke ya roho

We imagine mtu kama yule Roma Mkatoliki kaenda kutekwa kamuumiza kijana wa watu kisa kaimba hali halisi badala ya kurekebisha kaenda kumuumiza mtoto watu bure

We unategemea malaika watamuacha hivihivi tu thubutu yani huko anajuta saivi ni kichapo tu mwanzo mwisho kaenda kummiminia risasi Lissu ili afe Mungu akasema hunijui vizuri wewe ngoja nkuonyeshe

Lissu huyo mzima japo kamtia ukilema mwenzie lakini yeye tushaanza kumsahau saizi anakula dozi zake Jehanam bado yule kinundu sijui kwa nini Mungu bado anampa milage alitakiwa na yeye afuate Magu fasta in shaa allah litatimia soon maana naona anjimwambafai sana skuizi
Nimecheka sanaaaa. 😁😂🤣🙌
 
magu kuwa rais lilikuwa ni kosa kubwa sana.
sidhani kama system itarudia kosa la kumkabidhi nchi mtu mwingine mwenye roho ya kinyama kama yule.

kwa kupitia magu, system imepata lesson, next time itakuwa makini sana kwenye vetting.
Uko sawa,lakini pia ukiacha vetting inatakiwa njia za kumdhibiti Rais akiwa madarakani maana mnaweza kufanya vetting vizuri lakini mtu akabadilika baadae.
 
Mimi jamaa yangu wa karibu aliuwawa na Polisi, kosa lake alikuwa amekunywa halafu akawa amejinyoosha barazani Defenda ikawa inapita wakaanza kumuamsha na kumpiga na vitako vya Bunduki kichwani

Nikasema A..aa. Hapana tunakopelekwa siko kabisa
Mkuu tueleze na wewe ilikuwaje ukamkacha maana ulikuwa mnazi mkubwa wa Marehemu
 
"bakini na mavi yenu.."

"Kwa Mimi ndio nimelileta Hilo tetemeko"

"Kazi nikupe mafuta nikujazie posho na nyumba nikupe halafu mpinzani ashinde ...huna kazi"


"Msinichanganyie mahindi na mawe..."

"Si mlichagua upinzani sileti barabara....."


"Hamko huru kiasi hiko not to that extent "

"Huwezi kuwa msaliti ukasavaivi......."

"Serikali yangu haisomeshi wazazi..."
Hiki kidingi kilikuwa hovyo kwelikweli..anyway,apumzike kwa amani.
 
kwa sasa hawa wadodo wadogo hawatusumbui, hawana nguvu kama awali. kubwa lao Mungu kampenda zaidi.
hata kwenye kundi la wanyama ukimuondoa alfa katika kundi ni ngumu sana kuwa na muunganiko kwa hawa wadoo itawachukuwa muda mrefu kuunda mbinu na kuandaa kiongozi mpya wa kundi na wakai mwingine ndo huwa ina kuwa ni mwisho wa hyo regime
 
Mimi mpaka leo,ukiniambia jpm,si lolote sikuelewi.the best president in Africa.kama ulishindwa kumuelewa hata Babu yako mzee mwinyi (sisi tulifanya lakini mwenzetu amefanya zaidi"mzee mwinyi")Basi wewe ni miongoni mwa wale team epa, escrow,n.k.
 
Unajua maana ya "great again"? Ni lini sisi tushawahi kuwa great?
Tulishawahi kuwa. Tanzania ya miaka 1961 - 1979, Tanzania iliyokuwa na "Made in Tanzania" za kutosha tu kuanzia nguo hadi baiskeli, Tanzania iliyoonyesha kwa vitendo katika kuikomboa Kusini mwa Afrika kwa imani kwamba hakuna nchi iliyo huru hadi wote tumepata uhuru.

Linganisha Tanzania hiyo na Tanzania fulani ya hivi karibuni iliyozaa midebwedo inayosimama kwenye majukwaa na kutwambia "Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania".
 
Mimi mpaka leo,ukiniambia jpm,si lolote sikuelewi.the best president in Africa.kama ulishindwa kumuelewa hata Babu yako mzee mwinyi (sisi tulifanya lakini mwenzetu amefanya zaidi"mzee mwinyi")Basi wewe ni miongoni mwa wale team epa, escrow,n.k.
hayo ni maoni yako, hujazuiliwa kuwa na maoni tofauti na mimi kuhusu jiwe. asante na karibu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishawahi kuwa. Tanzania ya miaka 1961 - 1979, Tanzania iliyokuwa na "Made in Tanzania" za kutosha tu kuanzia nguo hadi baiskeli

kama tanzania tuliwahi kuwa great, mbona kila mara jiwe alikuwa anasema tanzania tumechezewa sana?.

ni nani nani hao walioichezea tanzania?. upinzani?.
 
Back
Top Bottom