Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

mwanaume kuomba msamaha kwa mwanamke
ni sawa kujidharirisha manake utampa nafas ya kukupaka we mpaka bas bora umcngzie shetan kesi itakuwa dismis
 
Wawe wababu, wawe wababa, wakaka na hata wavulana. Wakikosea ni wagumu Sana kuomba msamaha ukikinganisha na wadada. Why??????

Inatagemea na aina ya kosa mkuu...

Kama ni kosa la infi hata kwa mtutu mwanamume hatakiwi kutamka hayo maneno...

Ila kwenye vikosa vingine vingine ruksa hata mara 1000 kwa siku!!
 
Mwanaume ukimkosea mke wako au demu wako mwombe msamaha kimatendo...mfano mnunulie zawadi uliyowahi kumuahidi au umtoe umpeleke sehemu tamu tamu na zawadi za ukweli juu. Ukiomba msamaha tena mbele za watu ni uchoko huo.
 
very manish reason not to say l am sorry;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
Inatagemea na aina ya kosa mkuu...

Kama ni kosa la infi hata kwa mtutu mwanamume hatakiwi kutamka hayo maneno...

Ila kwenye vikosa vingine vingine ruksa hata mara 1000 kwa siku!!
 
very manish reason not to say l am sorry;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;

Ukishasema utakuwa na chako tena? Nani anapenda kulala na mkewe mzungu wa nne?

Na wanawake wanaujua huu ukweli!
 
Back
Top Bottom