Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

Mbona hata mimi mgumu sana kuomba msamaha.
 
Mwanaume shujaaa huwa hana neno samahani uliwahi kusikia chief anaomba msamaha huo ni udhaifu
 
Mie naomba sana msamaha hadi pale ambapo kosa sio langu alimradi kuweka hali sawa! Upendo, maelewano na furaha ni vya muhimu sana kuliko uanamme uliojaa ubabe bila sababu japo ni kweli asilimia kubwa ya wenzetu msamaha ni msamiati hata kama roho inamsuta kabisa kwamba amekosea ila atakomaa.....

mkuu umeoa?
 
Sio wote. kuna baadhi huwa waanasema"I'm sorry"na Magoti juu
 
Mie naomba sana msamaha hadi pale ambapo kosa sio langu alimradi kuweka hali sawa! Upendo, maelewano na furaha ni vya muhimu sana kuliko uanamme uliojaa ubabe bila sababu japo ni kweli asilimia kubwa ya wenzetu msamaha ni msamiati hata kama roho inamsuta kabisa kwamba amekosea ila atakomaa.....

Mwanaume hayuko hivyo. Kuwa kichwa sio kuwa mlaini
 
Unajua kuna makosa unakamatwa nayo unashindwa kusema sorry kwa sababu hilo kosa huna uhakika wa kutolirudia.

Mimi nikijua kosa linaweza kujirudia huwa naogopa kusema sorry aisee.
 
Wawe wababu, wawe wababa, wakaka na hata wavulana. Wakikosea ni wagumu Sana kuomba msamaha ukikinganisha na wadada. Why??????

Ila nyimbo zenye dhima ya "am sorry" nyingi ni za wanaume kuliko wanawake

Chunguza utagundua...
 
Back
Top Bottom