Kwanini ni vigumu sana mwanaume kusema I am Sorry?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,454
Reaction score
166,963
Wawe wababu, wawe wababa, wakaka na hata wavulana. Wakikosea ni wagumu Sana kuomba msamaha ukikinganisha na wadada. Why??????
 
Kwa sababu siyo walaini,
Sometimes tunawamwagiaga maji mlainike
 
Labda kwa sababu ni "wanaume" make hii nayo huwa inatolewa kama sababu
 
tunaona ni kujishusha sana kwa mwanamke
 
Huwa sio watu wa kupenda kujishusha au kukubali wamekosea kirahisi
 
Mie naomba sana msamaha hadi pale ambapo kosa sio langu alimradi kuweka hali sawa! Upendo, maelewano na furaha ni vya muhimu sana kuliko uanamme uliojaa ubabe bila sababu japo ni kweli asilimia kubwa ya wenzetu msamaha ni msamiati hata kama roho inamsuta kabisa kwamba amekosea ila atakomaa.....
 
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.

Hhha mkuu ulichokisema ni kwel kabisaa wanaume sijui neno sorry linakaba mkisema unaweza mfumania lakini neno sorry husikii akitamka zaidi ya kumsingizia shetani
Ila wakikosewa wao sasaaa atataka mpaka magoti apigiwe utafikiri yeye ni Mungu
 
hahah hhaaaaaa haaaa
 
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.

Eeeeeimen mtumishi. Huo ndio unaoitwa UPENDO.
 
True, mimi manzi wangu sijawahi kumuomba msamaha huwa napotezea kwa vijizawadi au kumchekesha kimtindo akishasahau maisha yanaendelea
 
Je tuna practice?

Sijafikia utekelezaji kwa ukamilifu ila kila siku ni nia yangu na ombi langu niwe na upendo wa aina hiyo. Hilo la kuomba msamaha kwangu sio tatizo japo sio kitu rahisi lakini ni kitu ambacho kimenisaidia sana.
 
wewe ni msamaria mwema, sidhani Kama ni normal Samaritan maana wasaMaria wanakuwa mabandidu zaidi ya wakurya
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa naomba sana msamaha sio kwa mwanamke tu! bali kwa mtu yeyote yule hadi pale nitakapoamua kukubadilikia endapo utavuka mstari!
 
Mimi Jana tu nimemtamkia mtu am sorry
 
Mi ni mwepesi kuomba msamaha,halafu dadalangu mwenyewe Heaven Sent simuoni humu ,ndagha fijjo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom