Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kaka langu mwenyewe me Nipo sana, aisee wewe ukikosea omba tu msamaha, haipunguzi uanaume wako bali inajenga sana mahusiano yako na ni uungwana pia. Mambo ya kumjibu wifi " potezea", sijui "kausha" au "basi yameisha eeh" hayafai.Mi ni mwepesi kuomba msamaha,halafu dadalangu mwenyewe Heaven Sent simuoni humu ,ndagha fijjo
Afu bora mtu asiombe msamaha akae kimya kuliko wengi wenu maana mna tabia mkibambwa na makosa, kesi mnazigeuzia kwetu afu Mnataka sisi tena ndo tuwaombe msamaha. Aisee ntakufurahisha
Last edited by a moderator: