Kinana: Mwalimu Nyerere ni shujaa namba moja Tanzania

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

IMG-20230725-WA0016.jpg
 
Shujaa na Hayati Magufuli.

Akisikia hili neno anahisi kufakufa hivi. thehee
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

View attachment 2699319
Kwa hiyo anatakaje?
 
Vipi kuhusu Kinjekitile, Mkwawa, Isike na wengine waliokuwepo kabla ya Mwalimu?

Siasa ni kinyaa
 
"Tarehe 12 Januari 1964 asubuhi na mapema, mwanachama wa ASP John Okello (1937-1971 ?) kutoka Uganda aliongoza wanamapinduzi 600–800 wa kisiwa kikuu cha Unguja kushinda polisi wa nchi na kuteka silaha zao. Halafu walielekea Zanzibar Town walipompindua Sultani Jamshid bin Abdullah na serikali yake. Waliokufa katika mapigano wamekadiriwa kuwa 80 hivi tu."

Shujaa wa Zanzibar.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

View attachment 2699319
Hawasemi tu. Ndo Rais aliyepona majaribio ya mapinduzi mengi zaidi kwa Tanzania.

Kuna mazuri yake ndiyo ila kuficha mabaya yake kunaifanya jamii yetu kutokujua mabaya aliyoyafanya ili yasijirudie
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

View attachment 2699319
Kikwete ni Baba wa Taifa...Shekhe Mwaipopo Ubwabwa
 
Ushajaa wa Nyerere kwa kipindi hiki cha sasa una faida gani?

We are living the past.

Mbona na wao wanashindwa kuwa mashujaa?

Wamekalia maneno tu, Huku wao ni Mafisadi.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

View attachment 2699319
Baba wa Taifa alikuwa akiwaheshimu wazee !!
Kwa sasa wazee wanatukanwa !! Miaka inaenda mbio sana !!
Ngoja tuone mwisho wake. !!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusema ni mwanamapinduzi wa kweli na shujaa wa Afrika.

Amesema wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya mashujaa, Mwalimu Nyerere anabaki kuwa shujaa namba moja wa Tanzania.

Kanali Mstaafu Kinana ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 baada ya kutembelea kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama mkoani Mara akiwa katika ziara kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuzungumza na wanachama mkoani hapa

Akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na baada ya kuweka shada la maua, Kinana amemwelezea kuwa ni shujaa wa Tanzania na Afrika na kutoa wito kwa nchi zinazotamani kuzikalia nchi nyingine kiuchumi kuiga mema ya baba wa Taifa ambaye aliongoza mapambano ya kumaliza udhalimu wa nduli Idd Amin nchini Uganda.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#Kaziiendelee

View attachment 2699319
Mh 🤔 kwan johnthebaptist na genge lake wanasemaje kuhusu hii kauli ya shujaa. Maan humu tushaimbiwa shujaa ni mmoja tu!!
 
Back
Top Bottom