Kwanini ngono ni dhambi?

Kwanini ngono ni dhambi?

Tungejadili kwanza dhambi ni mini, tafsiri ya dhambi inatofautiana Kati ya dini na dini, dhehebu nk.
 
nafikiri kwa ambacho kinafikiri nafikiri halafu shule nisehemu ambapo watu kama sisi tumeumiza vichwa kugundua na kuwawekeeni sylabus nyinyi mnao kariri muwe sehemu salama ya maarifa period
kama muweka syllabus unafikiri hivo..no wonder kuwa na elimu ya kijuha kiasi hiki..Mimi na wewe nani wa kukariri..huna uwezo wa kuniandalia Mimi syllabus
 
Hakuna Mungu aluyekataza ngono.
Hili ni swala la viongozi wa kidini zamani ili kuwaogopesha watu tu.
 
Kwa mimi Biblia inanifundisha kwamba,"dhambi ni uasi na kila lisilo haki ni dhambi" uasi ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu.Hivyo ndani ya ndoa hatufanyi ngono bali tunajamiana.kinyume na hapo ni dhambi maana huyo unayefanya nae si wako ni wamwingine.
 
Dhambi inaanzia kwenye fikra,na roho hupinga unachofikiri kufanya.Hivyo kila jambo ambalo unafanya roho yako inakuhukumu ni dhambi.kuzini ni dhambi kwani unapofanya hivyo unachafua kwa mwenzio si haki.Tuache kutafuta sababu za kuhalalisha vitu.Acha ngono oa olewa ufurahie uumbaji wa Mungu.
 
kama muweka syllabus unafikiri hivo..no wonder kuwa na elimu ya kijuha kiasi hiki..Mimi na wewe nani wa kukariri..huna uwezo wa kuniandalia Mimi syllabus

ulitaka nifikiri vipi?unaweza thibitisha elimu ya kijuha?haya maandishi unayoyaandika humu unayajua au umekariri?sina uwezo wa kukuandalia maana nauwezo wa kujua yupi hawezi kuhandle hiyo syllabus period
 
OK..pata maji baridi..hoja umeishiwa..done
 
Sijui unaposema dhambi una maana gani.Lakini.ndiyo,yes,wakati mwingine kuna matatizo katika ngono. Kwa mfano mtu anaweza kuugua akifanya ngono carelessly(and there is no such thing as safe sex), Au matumizi makubwa ya hela katika ngono.Au muda mwingi kupotea . . Halafu usiseme wanyama hawatendi dhambi za ngono. Wanyama pia wanahukumiwa. Kwa hiyo,kijana mdogo anafundishwa katikaMadrassa "Usikurubie zinaa" na mafundisho mengi yenye faida. Lakini anayakariri tu,hajui yana maana gani. Lakini akiwa mkubwa all these things become clear to him. Ngono siyo kosa kwa sababu that is how the species is propagated. Katika dini ya Kikristu ilikuwepo Convention of Constantinople in 60 AD ambapo mafindisho ya dini yalibadilishwa na Kanisa likaanza kufundisha kwamba women are unclean.Historical records zinaonyesha kwamba kuna homosexuals walijipenyeza katika decision making process ya ule mkutano wa Constantinople.Historicalrecords ambaxo hata sasa zipo Vatican Library.
 
binadam kadevelope intelligence kivipi hata wanyama wengine washindwe?!..kumkana mungu shart ujitie wazimu kwanza

Buibui amedevelop vipi uwezo wa kutengeneza sumu hadi wewe ushindwe? Imani yako inakupunguzia uwezo wa kufikiri. Na wapi mungu kakanwa?
 
Buibui amedevelop vipi uwezo wa kutengeneza sumu hadi wewe ushindwe? Imani yako inakupunguzia uwezo wa kufikiri. Na wapi mungu kakanwa?

kila kitu kimeumbwa kama kilivyo,hakuna evolution ya kutoka sokwe hadi kuwa mwanamuzik wa kufokafoka
 
yote haya ni mambo ya dhahania,hakuna atakayekupa jibu sahihi,si vizuri pia kujadili mambo yanayohusiana na neno mumngu moja kwa moja. Kama hakuna jibu sahihi kuhusu uwepo wa mungu basi hakuna jibu sahihi kuhusu ngono dhambi au si dhambi. Ila wasikilize binadamu,mimi nasema mambo ya dhahania hayana specific answers

Kuna ubaya gani kujadili mambo yanayohusiana na neno la huyo Mungu moja kwa moja?

Cc aretasludovick, Bennie 369
 
Last edited by a moderator:
Kuna ubaya gani kujadili mambo yanayohusiana na neno la huyo Mungu moja kwa moja?

Cc aretasludovick, Bennie 369

Huyo amepandikizwa uoga tangu anakua ndio maana anaongea kwa hisia.

Kuhusu hili la ngono, mimi naona ni swala la mtu mwenyewe atakavyojiamulia.
Maana madhara ya ngono yanajulikana. Hivyo kwa kuendekeza kwake ngono, kutamhusu yeye na sii mwingine.
Maswala ya dhambi yalitafsiriwa vibaya na yanaendelea kutafsiriwa vibaya hadi sasa. Na hii ni kwa sababu watu hawataki kuambiwa ukweli/wanapenda kuwa watumwa badala ya kuweka akili zao huru.
 
Hata mi sielewi huu woga utawapeleka wapi?

Pia sijui kwanini watu hawapendi kuambiwa ukweli, utumwa kwao ni swala la kawaida
Wanaamini hadithi za kale kuliko ukweli ulivyo
 
Huyo amepandikizwa uoga tangu anakua ndio maana anaongea kwa hisia.

Kuhusu hili la ngono, mimi naona ni swala la mtu mwenyewe atakavyojiamulia.
Maana madhara ya ngono yanajulikana. Hivyo kwa kuendekeza kwake ngono, kutamhusu yeye na sii mwingine.
Maswala ya dhambi yalitafsiriwa vibaya na yanaendelea kutafsiriwa vibaya hadi sasa. Na hii ni kwa sababu watu hawataki kuambiwa ukweli/wanapenda kuwa watumwa badala ya kuweka akili zao huru.

binadam hana uhuru huo,akiwa huru haswa hawi binadam anakuwa hayawani,ndomana waliohuru haswa wanang'ang'ana wanaume waoane na kukung'utana kama wewe na mpenzi wako,dhambi ni neno la kiarabu,maana yake 'kosa'..sasa kosa linategemea kwa mtazamo upi,kama wasioamin katika mungu muumba wa kila kitu kama wewe,ndo hukaa chini na kujipangia lipi kosa lipi sio
 
Back
Top Bottom