Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,376
- 724
KhaaaAliyekuroga kafa na hirizi umepoteza. Hatusumbuki na CHADEMA tunasumbuka na adui mkubwa wa maendeleo ccm ambao mpaka sasa wametufikisha pabaya na kupandikiza akili za kidwanzi kama zako kwa raia masikini waliozungukwa na rasilimali lukuki za taifa.