Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,877
- 9,369
kama tatizo la mapema kunafanyika emergence landing kwenye airport ya karibu ..nje ya hapo hakuna alternative zaidi ya kusali na kuomba dua zako za mwishoSasa kabla haijalipuka inabidi ifanyike namna watu waokolewe