๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ผ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ!!

๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ผ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ!!

Kama hizo futi 15,000 ndo kikwazo basi zitumike ndege inapofikia umbali unaostahili kuruka na parachute

Ndege inapopata Dharura si inaelekea chini kudondoka ambapo hamna mgandamizo mkubwa wa hewa hapo hapo ndo muda wa kuchomoka ๐Ÿช‚
Mkuu, Kushuka tu kwenye gari inayotembea unaweza kufa sasa pata picha ndege inadondoka.
 
Mkuu, Kushuka tu kwenye gari inayotembea unaweza kufa sasa pata picha ndege inadondoka.
Inaogopesha sana mkuu lakini angalau unakua umefanya juhudi ambazo zinaweza kukuokoa kuliko kukaa ukisubiri kugeuzwa majivu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Alternative ni ipi?
Cabin ya abiria iwe attached kwenye kichwa cha ndege. Ikitokea ajali huko angani kichwa na injini vinachoka na kuacha cabin nyingine ikielea. Na baada ya kufika umbali fulani kutoka kwemye free fall, ziwepo parachute ambazo zitafunguka automatic ili kuwezesha cabin kutua salama au kupunguza madhara kwa abiria
 
Hii Teknolojia bado hawajaitangaza ila wataleta maana kuna mahali nimeona walikua wanazungumzia kuhusu miaka ya mbele kuanzia mwaka 2035
 
"Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka", si kweli kwani haiwezekani ukaitumia chombo kikiwa kimefika chini na msaada haujafika. Kuitumia parachuti kunahitaji mafunzo ya jinsi ya kuivaa, kuielekeza kwa kutua na kuiachia kwa kukita miguu chini bila kujiumiza, hata hivyo zipo za mizigo ambazo hazihitaji kuongozwa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaelewa tunachokizungumza lakini au ndo umeamua kuropoka tu
 
Jamaa Teknolojia ni Yetu sote mbona kaelezea vizuri sana. Ofcoarse parachute ni moja ya solution but inahitaji mtu apewe elimu kubwa kabla ya kutumia na sio easy kama watu wanavyofikiria.

Kwenye meli tu sometimes hutoa maelekezo ya namna ya kutumia life jackets ila inapotokea chombo kinataka kuzama utawaona watu wanavyohangaika iwe ulisikiliza au hukusikiliza ama ulielewa au hukuelewa.
Hahahahaha amesahau na mbwembwe za wale wahudumu wa ndege wakielekeza eti ikiangukia ziwani,chini ya kiti nini na nini, vaa pulizia upepo jaza, shenzi taipu tu. Ila ardhini,hutowasikia wanatoa maelekezo. Uzuri na wao wanaenda na wenzao abiria.
 
Tuko kwenye majaribio tunakuja
 
Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    35.1 KB · Views: 15
Kama hizo futi 15,000 ndo kikwazo basi zitumike ndege inapofikia umbali unaostahili kuruka na parachute

Ndege inapopata Dharura si inaelekea chini kudondoka ambapo hamna mgandamizo mkubwa wa hewa hapo hapo ndo muda wa kuchomoka ๐Ÿช‚
ndege inapofeli na kuelekea kuanguka ni mithili ya gari la mizigo lililofeli brake mlimani...ni kitendo cha sekunde tu kabla ya kuanguka chini na kulipuka.
 
Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali.

View attachment 3369940

Wengi wetu tunajiuliza kwanini ndege za kibiashara zinazobeba Abiria hazina vifaa vya kujiokoa wakati inapotokea majanga wakati wakiwa angani mfano Parachutes ili kuweza kuwasaidia abiria inapotokea ajali.

Tofauti na ndege zingine kama vile ndege za kivita , kwanini ndege za kibiashara hazibebi parachutes wakati inapotokea ajali waweze kujinasua okay leo nakuletea sababu kadhaa;
๐Ÿ’จ Hakuna parachutes kwa kuwa kunahitaji Mafunzo makubwa ili mtu aweze kutumia parachutes kwenye kujiokoa maisha inapotokea ajali.
๐Ÿ’จ Kutumia parachutes sio Rahisi kama unavyoona kwenye games au Michezo mbalimbali kwenye Tv, sio Rahisi kuruka wakati ndege iko kwenye mwendo mkubwa sana.
๐Ÿ’จ Pia marubani hawana parachutes kwa kuwa ndege wanazopanda ni tofauti na zile zingine.

Pia ndege nyingi za kibiashara zinaruka kwenye mwinuko wa mbali sana kuliko Ndege za kivita ambazo zinapanga wapi pakushikia wakati ndege za kibiashara zinaenda mpaka umbali wa futi 15,000 hadi 16,000.

Bila kusahau Ndege nyingi za kisasa za abiria zimeundwa ni kubwa, mashine nzito baadhi ya model zina uzito zaidi ya Tani 300 wakati zimepakia kikamilifu sasa Kuunda parachuti yenye uwezo wa kupunguza kasi ya misa kubwa kama hiyo ni kazi ngumu sana.
Unataka kuleta shida. Ndege nyingi zinaenda Dar Mwanza. Kina ngosha na ujuaji wao si kila ndege watakuwa wanafungua parachute ili wasianguke? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaelewa tunachokizungumza lakini au ndo umeamua kuropoka tu
"msaada unachelewa kufika kwa haraka", yaani msaada ukichelewa kufika ndipo unatumia parachuti! Hii haiingii akilini, huo msaada unapewa angani au ajali ikitokea? Badala ya kunikashifu ungenielewesha mimi mbumbumbu.
 
Cabin ya abiria iwe attached kwenye kichwa cha ndege. Ikitokea ajali huko angani kichwa na injini vinachoka na kuacha cabin nyingine ikielea. Na baada ya kufika umbali fulani kutoka kwemye free fall, ziwepo parachute ambazo zitafunguka automatic ili kuwezesha cabin kutua salama au kupunguza madhara kwa abiria
Yes mkuu solution nzuri kuliko hali ilivyo sasa ni hatari sanaa
 
ndege inapofeli na kuelekea kuanguka ni mithili ya gari la mizigo lililofeli brake mlimani...ni kitendo cha sekunde tu kabla ya kuanguka chini na kulipuka.
Sasa kabla haijalipuka inabidi ifanyike namna watu waokolewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom