Bunge la Wananchi
Member
- Jan 30, 2023
- 74
- 79
Ni jambo la kawaida Rais anapotoka nje ya nchi wakati wa kuondoka anasindikizwa na Makamu wa Rais na anaporejea anapokelewa na Makamu wa Rais mbona kwa Nchimbi inakuwa tofauti shida ni nini? au mimi sijaangalia vizuri ya Rais akiwasili nchini kutoka Ethiopia?