Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

Kwani una miaka mingapi? Maana zamani hata huo Expert member tuliusoteaga.
Pia km kufatiliwa unajua lara 1 wewe allikuwa akitoa stori anasepa na kijiji na inafuatiliwa km series bwana acha.
 
Kwani una miaka mingapi? Maana zamani hata huo Expert member tuliusoteaga.
Pia km kufatiliwa unajua lara 1 wewe allikuwa akitoa stori anasepa na kijiji na inafuatiliwa km series bwana acha.
Nimeona posts zake anaonekana so vibrant na ni kweli alikuwa na kijiji chake.

Ila mimi ni wa tofauti sina kijiji ila nina kaa trending
 
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.

Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu

1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia

2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu

3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.

4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.

Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?

Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.

Ni maombi yangu mtanifikiria

Asanteni sana

Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Mkuu hebu tulia kwanza. Platinum membership haiombwi bali hutolewa based on merit. Ni sawa na zile nyuzi za Stories of Change tulizokuwa tukiandika kipindi kile. Watu walikuwa wanashinda kwa kuangalia vigezo sio kwa kuomba. So, tulia kwanza ukue muda ukifika utatunukiwa hiyo membership unayoitaka. Usione wengine tuna badges za platinum membership ukadhani tumezipata kwa urahisi. Tumezipambania mkuu.
 
Good for you na Asante kwa maoni
 
Back
Top Bottom