Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.

Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu

1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia

2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu

3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.

4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.

Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?

Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.

Ni maombi yangu mtanifikiria

Asanteni sana

Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Platinum member inatakiwa uchangie hata ukitoa milioni 10 tu kwa mwezi sio mbaya sana.

Pesa unanitumia mimi halafu nakufanyia connection kwa Maxence Melo.

HAKUNA UDALALI.
 
Toa mchango wako Jamii Forum… hiyo Platinum Member utaipata vizuri tu!
Lakini umewahi kujiuliza, hili jukwaa linaendeshwaje?
Wafanyakazi wake wanalipwa vipi? Gharama za servers, mifumo, usalama na huduma nyingine zinagharamiwaje?
Kabla hujakataa kuchangia, jiulize kwanza: jukwaa unalolitumia kila siku linajiendesha kwa fedha zipi?
Kama unaliona lina umuhimu kwako, basi mchango wako unaweza kuwa sehemu ya kulifanya liendelee kuwepo na kutoa huduma.
Usiangalie tu unachopata—jiulize pia, kinagharimu nini ili kiwepo.
 
Sidhani kama Mello anaendesha pekee na timu yake nahisi kuna sponsorship anapata. Lakini pia kama tuuuavyo monetization iko njiani
 
Back
Top Bottom