Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari

Kaka ile ilikuwa ni uongo, kuna documentary moja ya BBC uingereza ilionesha facts jinsi isivyokuwa kweli. Ile walioonesha waliiandaa marekani na eneo walofanyia hiyo movie ni sealed hakuna ruksa kuingia
 
Mkuu naona sasa wewe ndiyo unanivuruga kabisa ,Ina maana kina Amstrong mwezini ilikuwa changa la macho
 
napenda sana mada hii lkn sina ufahamu juu ya suali lako mkuu
 
Nani amewahi kwenda makumbusho ya Taifa
Opposite na Chuo cha IFM?
Kuna mawe yalitolewa na Serikali ya Marekani kwa Tz
Nani amebahatika kuyaona?
Je ulisoma na maelezo yake?
 
Nani amewahi kwenda makumbusho ya Taifa
Opposite na Chuo cha IFM?
Kuna mawe yalitolewa na Serikali ya Marekani kwa Tz
Nani amebahatika kuyaona?
Je ulisoma na maelezo yake?

Mimi hapa nimewahi kuyasoma.
 
Hakuna haja ya kurudi mwezini kisayansi, hivyo hakuna sababu ya kuhatarisha maisha ya watu. NASA walitua mwezini mara 6 kati ya 1969 na 1972.
 
Ingia YouTube kuna clips kibao za documentaries kwamba ni uongo uliopikwa vizuri miaka hiyo, hakuna aliyewahi kufika mwezini, watakuonesha hata ufeki wa zile video za NASA
 
mada tamu.cna maujuz 2 halo na NASA waongo.wangefany Waiclamu Ivo Mngeckia Maneno Yao.chuki Tu.
 
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari

Baada ya kwenda waliambiwa "don't ever come back, or else your country will be in trouble"
 
Ingia YouTube kuna clips kibao za documentaries kwamba ni uongo uliopikwa vizuri miaka hiyo, hakuna aliyewahi kufika mwezini, watakuonesha hata ufeki wa zile video za NASA

Ni kweli, tangu lini bendera imapepea mahala ambako hakuna hewa? Pia nasikia kwenye video clip zao kulionekana kopo la Coca-Cola mchangani. Mambo ya Nevada hayo!
 
Kwa facts zilizokuwepo, hata hiyo mara moja, nasa hawakwenda mwezini.

Hakuna watu nisiowapenda kama wanaokataa NASA kwenda mwezini, conspiracy theorists hawafundishiki! Hizo sio facts ni speculation zisizo na msingi, kama unataka angalia kipindi cha Myth Busters kuna episode ya kujibu hizo conspiracy za mwezini.
 
Hii mada ni na nzito sana kusema kweli imenishika tunaomba data zenu wakubwa
 
Hakuna watu nisiowapenda kama wanaokataa NASA kwenda mwezini, conspiracy theorists hawafundishiki! Hizo sio facts ni speculation zisizo na msingi, kama unataka angalia kipindi cha Myth Busters kuna episode ya kujibu hizo conspiracy za mwezini.

Exactly!... Na kama ni wali-stage everything, watu hawajiulizi katika uongo mkubwa kama huo, waliwezaje kushindwa kuzuia loopholes kama upepo na chupa ya cocacola?. I dont think walikuwa too stupid to notice that when they were allegedly 'shooting' that video.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom