Kwanini nafeel hivi?

Ni rahisi sana ukitaka kujirudisha kwenye mood ya kusoma,jaribu kutoka nje for evening or night walk hata kwa dk 15 tu,na utakapokuwa katika matembezi hayo jaribu kutofikiria chochote kuhusu kusoma na ujifikirishe na mambo mengine tu hata kama ni ya mapenzi ili kuihamisha akili na kuiwezesha kupumzika kwa muda.Kisha ukirudi ndani oga,na urudi kwenye kitabu utakuja kunipa majibu.Lakini nakutahadharisha tu kama unapoishi kuna vibaka ni bora usitoke usije kukabwa bure.

Oh,kumbe saa7 kasoro nilitaka kutoka kweli et!
 
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must

Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............

All the Best

Dah,kwanza the counseling itself i appreciate!
Then kwa matokeo hayo aiseee,you are bright!
Thanks a lot
 
I love "Programming" and that needs time,....na ukiona huja cheza na computer week nzima kwa sababu huna mood ujue umepoteza kama mwaka hivi,that's why nachuja mawazo ya wadau hapa niondoke na moja!

Mkuu you are getting bored on programming???, I thought labda unasoma vitu unimaginable things kama atomic physics..., au organic chemisty,

Uzuri wa vitu kama programming, mathematics etc..., unaweza ukafanya quiz ukiwa umechoka..., na pia they are practical you learn more by doing and not reading like a book..., so keep on programming myfried and when you are tired have a break do something different come back and pick up where you left off by the way have you seen GOOD WILL HUNTING...
 
Dah,kwanza the counseling itself i appreciate!
Then kwa matokeo hayo aiseee,you are bright!
Thanks a lot

Aisee huyu jamaa nimetokea kuvutiwa sana na posts zake, ni mtu flani ambaye nimeona kuwa asilimia kubwa ya maneno yake yana logic na busara ndani mwake...

Ubarikiwe VoiceOfReason
 
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must

Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............

All the Best

kwa hiyo ulikuwa unasoma ili ufaulu mitihani tu na sio kuelewa?
 
i tend to believe that there is no such thing as a mood.....mwili uhisi kile ambacho akili imekituma...............i wish i continue.
ila kumbuka tu kitu kimoja.......a mind is the most powerful tool ever created!
 
Aisee huyu jamaa nimetokea kuvutiwa sana na posts zake, ni mtu flani ambaye nimeona kuwa asilimia kubwa ya maneno yake yana logic na busara ndani mwake...

Ubarikiwe VoiceOfReason

kwakweli abarikiwe, hata mimi ananivutia.
 
Firstly, try to step into the world of literature you are reading. Don't just read the words on the page, visualize them. If there is a tree, don't just read about it, picture it in your mind. If the wind is blowing, imagine it's effect on the tree, how the leaves move with each movement of air.

Secondly, make your reading area unlike your sleeping area. If you sleep with the radio on, then shut it off. If you don't like lights on when you're asleep, then turn on the lights. Make the area you read in an area that feels almost uncomfortable to sleep in. This will keep you from becoming drowsy and dozing off mid-page.

Thirdly, determine what you are supposed to get from the reading material. If you're reading for a book report, then take occasional breaks to put what you are reading into some kind of context that you could apply into the report.

Fourthly, take a break once in a while. Some books are a little too stale for 'hours on end' reading and are more suited to small doses in large numbers.

Fifthly, pour a cup of coffee/tea and dig into the book if you just have to get the book read for school or for a work project. It may not be the most exciting material you've ever read, but if you can come away from it with a substantial knowledge of the material, someone will appreciate your effort, even if they don't say so to your face.

How to Avoid Getting Bored While Reading - wikiHow
 
Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must

Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............

All the Best

Was it necessay??
 
Inawezekana una mawazo, au haupo sawa kiafya.
Jaribu kutafuta mtu wa kusoma nae, mjipangie ratiba na uhakikishe unaifata.
Pia, unaweza kusoma na mziki (kama unaweza, ni nzuri hauchoki na unafurahia unachokisoma),
usipende kuconcentrate sanaaaa, jaribu kurelax wakati unasoma. Soma notes zako kama vile unasoma gazeti, mtu aliyemaliza kusoma gazeti ukimuuliza ni rahisi kukuelezea kuliko mtu aliyetoka kusoma notes za darasani hii ni kutokana na huo mtindo wa usomaji.
Jaribu kuandika summary pembeni.
Pia muda mzuri wa kusoma ni unapotoka kuamka. Akili bado inakuwa imetulia.
Unaweza ukawa na maji ya kunywa pembeni, hii itakusaidia usiwe unasinzia.
USISAHAU
Kusoma kuelewa, kukesha.......
 
Ukihisi uvivu kumbuka wale wote ambao unawafahamu na kuwapenda ambao maisha yao ni mazuri kwa kuwa walisoma kwa bidii na kukomaa hata pale ilipokuwa ngumu......fikiria as in imagine furaha ya kufaulu test,kuvaa joho na kupata kazi nzuri ukiwa na result nzuri........

Sometimes,give urself a break,listen to music,pray and read insipirational stories.....all the best,work a little harder the rest leave it to God!!
 
hiyo hali huwa inatokea sana, mara nyingi huwa inatokea kama ulikuwa umepiga msuli sana hapo nyuma, lakini cha muhimu jaribu kupitia vile vitu ambavyo haviitaji umakini sana (vitu laini) na sometimes ni vizuri kwa kipindi kama hichi kusoma yale masomo uanyoyapenda sana kwani akili yako itakuwa iko tayari kupokea na baada ya muda utarudi kweny reli
 
Thanks friend,but i thank God leo nipo kwenye mood tamu balaa,ngoja nikuoneshe post niliyo ota ya ushauri nilopata usiku
 
Back
Top Bottom