Kwanini nafeel hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nafeel hivi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Jan 29, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sina mood ya kusoma for a week now na test nyingi na mtihani wa mwisho unakaribia,any idea why?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  :twitch:Kwasababu ni mvivu!!!!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sometimes we have to do things because we have to, not cause we want to...,

  studying sio hadithi ni very rare utapenda, ila ni obligation.... Fikiria kuhusu furaha utakayopata ukishinda tests (use that as a carrot) na fikiria ukichemsha utakavyokuwa umepoteza your energy, money and letting yourself and your relatives down (use that as a stick)

  I remember in my days nilivyokuwa High School tulikuwa na msemo...,
  "Ni Bora Punda Afe.., ila Mzigo Ufike"
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wow,thanks sana mkuu!
  Lakini ukilazimisha kukaa hata kama hau gain si ni sawa na kupoteza mda?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I take that,but if you tell me how to overcome ma situation utakuwa umenisaidia zaidi
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  but at least u can get something even if its small,something is beta than nothing. Komaa tu mkuu.
   
 7. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  just try to tune yo brain "on".
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  True very true....? jaribu kubadilisha sehemu unaposomea labda kuna distractions... au break studying sessions into small units yaani ujipe zawadi maybe after studying every one hour jipongenze kwa kuingia JF na Kuchat au fanya anything you like, for half an hour.

  Hii itakusaidia usiwe bored na uwe unalook forward kufanya kitu unachopenda... just at the back of your mind think about how that certificate will look like when you graduate.

  Cardinal Rule dont force thinks akili ikichoka kidogo badilisha activity kidogo, alafu rudi uendeleze...... Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke..... No Retreat No Surrender....
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,you want to make me nisilale na am not gaining,hakuna mtu anapenda kusoma kama mimi ila kwa hali hii sijui ni nini,....
  Sina homa wala malaria maybe ingekuwa ina sababisha but mmmh!
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha advance,thanks sana i can see hapa getting your challenges napata hamu ya kusoma hivi
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  My friend remember always hard work pays,and those are the hardships of being in school/college,so you need to overcome them no matter what the situation is and remember, if you think education is hard just try ignorance.
   
 12. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  i understand you. Najua huwa inatokea,jitahidi upumzike ukiamka kichwa itakuwa ok utasoma. Pole sana.
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  thats gud news.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sure,i should keep going on no matter what,bora ningeomba ushauri hapa mapema kumbe thanks again
  i need more mawazo ya namna ya kufanya ukichoka lakini uendelee kufanya kazi
   
 15. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sio uungwana Lizzy!!!
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Carrot and Stick my dia....................ignore the feelings focus on the Must

  Nakumbuka enzi zangu and I am counting myself lucky....ilikuwa nikisoma kitu nikiona hakipandi basi najipa moyo hakitatoka kwenye mtihani na HAKITOKI kweli and whatever I am dreaming kuwa kitatoka KINATOKA ..........so I stuck on that rule...............I ended up getting Div. I.6 form Six and a GPA of 4.3 university level................... am not saying kuwa unatakiwa uote no.........but know your purpose of being where you are and weigh between wale ambao wangetakiwa kuwa hapo ulipo na hawapo .............

  All the Best
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Ni rahisi sana ukitaka kujirudisha kwenye mood ya kusoma,jaribu kutoka nje for evening or night walk hata kwa dk 15 tu,na utakapokuwa katika matembezi hayo jaribu kutofikiria chochote kuhusu kusoma na ujifikirishe na mambo mengine tu hata kama ni ya mapenzi ili kuihamisha akili na kuiwezesha kupumzika kwa muda.Kisha ukirudi ndani oga,na urudi kwenye kitabu utakuja kunipa majibu.Lakini nakutahadharisha tu kama unapoishi kuna vibaka ni bora usitoke usije kukabwa bure.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha uvivu!!!!
  Nwyz give yoursekf a break....pumzika kidogo alafu ukijaribu tena baadae kikikataa jilazimishe!!!Au unaanza na zile topic unazopenda zaidi,.....surely zitakupa mzuka wa kuendelea na nyingine!!!
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  No,ni uungwana there are times mtu anashindwa kusoma kwa sababu ni mvivu tu so ni mawazo yake na yana ukweli sometimes
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I love "Programming" and that needs time,....na ukiona huja cheza na computer week nzima kwa sababu huna mood ujue umepoteza kama mwaka hivi,that's why nachuja mawazo ya wadau hapa niondoke na moja!
   
Loading...