Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,594
- 53,375
🤣🤣umetilia tuli
ifike mahala kila mtu ashike lake analoliamini 😂Ahadi hizo ni kwa ajili ya kushawishi watu kutenda matendo mema.
Kuhusu mtindo wa ahadi hizo, watu walizitunga kulingana na maisha ya wakati huo. Wakati huo pombe, dhahabu na wanawake vilikuwa anasa za juu kabisa.
Wangezitunga hivi sasa, tungesikia mbinguni unapewa v8, range rover na private jet.
Kwa hyo upo tayari kuweka maisha yako yote, nini cha kula,kunywa,kuvaa mtindo mzima wa maisha yako kwa ajili ya bet kwamba huenda ukamkuta au usimkuteHeri uamini Mungu yupo, uende usimkute, kuliko kutoamini yupo halafu umkute!
Mimi nimewaambia wasioamini binafsi sibet najua yupo na ninajitahidi kadri ya uwezo wangu kuweka baadhi ya mitindo yangu ninayoweza kujilimit ninayoshindwa basi rehema za bwana zinifunike☺️Kwa hyo upo tayari kuweka maisha yako yote, nini cha kula,kunywa,kuvaa mtindo mzima wa maisha yako kwa ajili ya bet kwamba huenda ukamkuta au usimkute
nakubaliana nawe watu mbaya zaidi wanaamini Mungu hayupo ila wanaamini shetani yupoHeri uamini Mungu yupo, uende usimkute, kuliko kutoamini yupo halafu umkute!
Amenninayoshindwa basi rehema za bwana zinifunike☺️
Giza bila nuru ni uongo!!nakubaliana nawe watu mbaya zaidi wanaamini Mungu hayupo ila wanaamini shetani yupo
Huyo Mungu angekuwepo kweli, wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake. Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu.
Unajulikana kwa upoyoyo na ukosefu wa akiliHapo kale,
Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni.
Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi huko kana ya galilaya.
Kizazi cha sasa watu wanapenda mno kudinyana.
Ahadi inayotrend ni ya mabikra 72.
Sasa kama mbingu hakuna, kwanini ziwepo ahadi za aina mbali mbali, wahusika wanakusudia nini?
Mimi naamini kabisa mbingu ipo, Mungu yupo na shetani pia, kila mtu anajitahidi kuwin kundi lake.
Sasa wewe endelea kujidanganya uje kujikuta upande ambao hukutaka uwe.
Sio mabikra 72 km ilivyoainishwa kwenye kitabu?Wangezitunga hivi sasa, tungesikia mbinguni unapewa v8, range rover na private jet.
Thibitisha unayoyasema au ndio tayari ushakunywa bia?Huyo Mungu angekuwepo kweli, wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake. Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu.
Ukiona imani inahitajka kuamini kitu fulani, fahamu kwamba kitu hicho ni hadithi za kusadikika tu. Hekaya za vitabuni.
Mbingu haipo.
Jehanam haipo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
Hata sasa bado wanawake, pombe na dhahabu bado ni anasa za juu, sema labda waliotunga vitabu vya dini walikuwa wanaume ndio sababu ili kulinda wanawake wao na stability katika jamii.Ahadi hizo ni kwa ajili ya kushawishi watu kutenda matendo mema.
Kuhusu mtindo wa ahadi hizo, watu walizitunga kulingana na maisha ya wakati huo. Wakati huo pombe, dhahabu na wanawake vilikuwa anasa za juu kabisa.
Wangezitunga hivi sasa, tungesikia mbinguni unapewa v8, range rover na private jet.
Niambie umekalia nini?Huyo Mungu angekuwepo kweli, wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake. Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu.
Ukiona imani inahitajka kuamini kitu fulani, fahamu kwamba kitu hicho ni hadithi za kusadikika tu. Hekaya za vitabuni.
Mbingu haipo.
Jehanam haipo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
Umesahau dhambi pia hazipo kiongozi 😹Huyo Mungu angekuwepo kweli, wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake. Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu.
Ukiona imani inahitajka kuamini kitu fulani, fahamu kwamba kitu hicho ni hadithi za kusadikika tu. Hekaya za vitabuni.
Mbingu haipo.
Jehanam haipo.
Mungu hayupo.
Shetani hayupo.
Hakuna dhambi.Umesahau dhambi pia hazipo kiongozi 😹