Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,520
- 48,834
Hapo kale,
Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni.
Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi huko kana ya galilaya.
Kizazi cha sasa watu wanapenda mno kudinyana.
Ahadi inayotrend ni ya mabikra 72.
Sasa kama mbingu hakuna, kwanini ziwepo ahadi za aina mbali mbali, wahusika wanakusudia nini?
Mimi naamini kabisa mbingu ipo, Mungu yupo na shetani pia, kila mtu anajitahidi kuwin kundi lake.
Sasa wewe endelea kujidanganya uje kujikuta upande ambao hukutaka uwe.