Mzee Malecela alichafuliwa na Mwendazake wa Butiama na figisu hilo ndio lilimuibua Check bob mmoja akiitwa Jakaya ili kuzima ushawishi wa John Samwel
Jakaya alitumwa Nairobi na Mwl akamshawishi Salim, Salim alipokataa akaambiwa yeye ndio ajitose na kweli kuingia kwa Jakaya kulibadilisha muelekeo wa UV CCM ya wakati huo ya Kina Pohamba, Guninita na Katibu Mkuu Machachari Sukwa Said Sukwa!