Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,269
Analikwamisha taifa. Kikwete ndiye boss wa raisKelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;
1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH?
2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na Kikwete ni miongoni mwao?
3. Je uwepo wa Kikwete kati ya Marais waliotangulia mbele ya haki ndio sababu ya kumlaumu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Usitumie jazba isipokuwa ukweli wenye mashiko (facts) kuchangia hoja
Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;

Halimkubali aishi au?We elewa tu, Taifa halimkubali basi na iishie hapo ..mengine ongea na Mungu wake
DuhAngetulia zake kimya kama wastaafu wengine hakuna pahala angetajwa.
Tatizo ishapita takriban miaka 10 toka utawala wake lakini kutwa anaonekana yeye kila sehemu kiasi kwamba inakuwa ngumu kutofautisha nani hasa ndie raisi.
Amekuwa kimbelembele kiasi kwamba kuna wakati anajisahau kabisa kuwa hana mamlaka yeyote kwa sasa. Anajikuta anatoa mpaka matamko ya kimamlaka.
Akialikwa akatae?Angetulia zake kimya kama wastaafu wengine hakuna pahala angetajwa.
Tatizo ishapita takriban miaka 10 toka utawala wake lakini kutwa anaonekana yeye kila sehemu kiasi kwamba inakuwa ngumu kutofautisha nani hasa ndie raisi.
Amekuwa kimbelembele kiasi kwamba kuna wakati anajisahau kabisa kuwa hana mamlaka yeyote kwa sasa. Anajikuta anatoa mpaka matamko ya kimamlaka.
Mbona Mizengo anaoneka sanaKitendo cha kuonekana kila sehemu hata kwenye "uzinduzi wa josho la mbuzi'
Hadi kuiwakilisha nchi kimataifa wakati waziri husika yupo, Kikwete akae ale pensheni yake ambayo ni Kodi zetu!
Yule ni jambazi wa taifaKelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;
1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH?
2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na Kikwete ni miongoni mwao?
3. Je uwepo wa Kikwete kati ya Marais waliotangulia mbele ya haki ndio sababu ya kumlaumu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Usitumie jazba isipokuwa ukweli wenye mashiko (facts) kuchangia hoja
Ni busara kujua wapi pa kwenda na wapi pakukataa.Akialikwa akatae?
Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;
1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH?
2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na Kikwete ni miongoni mwao?
3. Je uwepo wa Kikwete kati ya Marais waliotangulia mbele ya haki ndio sababu ya kumlaumu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Usitumie jazba isipokuwa ukweli wenye mashiko (facts) kuchangia hoja
Mkumbusheni Jakaya aelewe maana ya kustaafu!Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;