Kwanini Mwigulu Nchemba anakuwa mkali watu wakisema Rais avunje Baraza la Mawaziri?

Huyu ni mpuuzi anaogopa kuachwa maana jamii haimtaki kabisa
 
Kama ulishawahi kumzingua mama kabla ya kuwa hivi alivyo,kivyovyote lazima ukae kihofu hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…