Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,878
- 117,570
Waendeleaje totooShoga yangu wa zamani missing you
Waendeleaje totooShoga yangu wa zamani missing you
Chijambo dadaWaendeleaje totoo
Mwanamke wa hivyo sikai nae kwakweli. Uzuti mmoja huwa yanawaharibikia huko wanapoenda. Na vile Mungu si mwanadam anakuinua tena kutoka mavumbini hadi kuketi na wakuu, unanawiri upya.
Wakishasikia flani amepata maisha mazuri, huwa wanarud kwa kasi na misamaha mingi.
NipmChijambo dada
hahaha case closed.hahaha haipo kwangu...sitaki kupiga visu au bastola niishie jela kwa mambo ya kipuuzi, ntakusaidia kufungasha nguo zako then ntakuitia teksi au boda boda ntamlipa then ntakuaga uende salama
ntarudi ndani kwangu na kufunga mlango.
Si wanaume wote wenye pesa huwa na michepuko hata ambao hawana fedha na maisha mazuri wana michepukoNyie ni mashuhuda. Watu wanaanza wakiwa wanalala chini, leo mambo yakiwa murua, , raha zote wanapewa michepuko. Kwa sababu unampenda sana mumeo na hutaki kumuacha na hutaki aangamizwe, unamuomba tu Mungu apunguze hizo hela so that peace could reign. Kama pesa ndo zimeondoa furaha ya ndoa yenu, kwa nini Mung asizichukue tu?
C.c. Evelyn Salt
Aliyepatwa na mkasa ni jamaa yangu wa karibu na yeye ndo kanieleza yote haya na pia nimeshuhudia mwenyeweunajuaje kama alimjali saana labda uwe wewe lakin kaa ujue nyumba zna mengi na matatzo uwa yanaangaliwa pande mbili so muache apambane na ndoa yake
Ndio kwanini mtusimange wakati tukiishiwa?mbona wakati zipo ni full shangweWanaume bwana kwa hiyo mnataka tuwabembeleze
unasema tu hayajakukuta oa kwanza ndio useme ndoa zina mambo mengi sana. unaweza ukawa unasema hivyo kisa hayajakukuta, hivi mfano umeoa na unafamilia na ndio umekosa kazi mama ndio anasomesha wanao na kufanya mule humo ndani, unamfukuza akuachie Watoto au unavumilia? ndoa zinahitaji uvumilivu sana. omba yasikukute kaka.Mie sijaoa mkuu , wenda nikawa sijui yaliomo ,ila ichukue iyo toka kwangu , Kamwe sitokaa niishi chini ya magoti ya mwanamke awe ni mchumba, awe ni mke .
Naamin naoa mtu mzima, mwenye akili, anayejua maisha na tafasiri zake kwa kila aina, anayejua maisha yana kupanda nakushuka, anayejua maisha yanachangamoto zake , anayejua kua Akikubali kuoana namm ili kuifanya familia na kusaidiana katila kupambana na changamoto.
Sasa basi,kwann wakati niko vzur unipendeeeeeeeee na uniheshimu sanaa ,, alafu leo nmekwama ,usiniheshimu tena?? Usinipende?? Usikute hapo na mzigo hapewi au anapangiwa?? ALAFU NIENDELEE KUA KONDOOO???
Brother , sijaoa ila uo ujinga sitokaa niuruhusu . Kamwe haitokaa itokeee mwanamke wangu awe sehemu ya mimi kuiona dunia sio mahali salama kwangu ...NAKAZIA KAMWE HAITOKAA ITOKEEE!!!. sina moyo mwepesi kiasi iko !!
Wanaume dizaini hii ndo wanattommbewaMtu haachi hela afu akirudi ndo wa kwanza kuuliza "chakula bado tu" mtcheew
Kukosa pesa/kazi si jambo dogo kama mnavyofikiri Chagadema.Sio wote mkuu, Huyo mke wa jamaa naona hakumpenda kwa dhati alipenda pesa tu.
Kama mmekula kiapo kukosa kazi kwa jamaa mbona jambo dogo sna
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...duuh!!!Niamini 90% ni machangu yantuuzia k tu, ukikosa pesa huna lako.
Kuna jamaa yangu akikosaga pesa ananyimwa k, anaambiwa kwa chakula gani cha maana umenilisha hadi nikupe uchi?
Tulisuluhisha kesi ya ajabu mno.
Wazee walisema mkeo sio ndg yako hawakukosea