Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

binadamu tumetofautiana mitazamo na jinsi tunavyoyachukulia mambo..!!wewe unaweza kupatwa na jambo jinsi utakavyolipokea ni tofauti na nitakavyolipokea mimi na jinsi ya kulitatua..!!nimechangia kutokana na experience yangu mimi mwenyewe hili jambo lishawahi nitokea hapo awali nikaenda hadi kwa mzee wangu (kwa sasa ni marehemu) ushauri alonipa ndo huo ambao umenusuru familia yangu hadi leo hii...
hata hivyo naheshimu mawazo yako boss..

umejibu kistaarabu sana mazee cheers! ila naona bado tunahitaji mjadala kuhusu hili jambo maana kiukweli wanawake wengi wamekua materialists sana ukiwa huna hela jua huna chako na uhalisia ni kwamba wanajua wanachokifanya sio sawa ndo maana unakuta kwa mfano akija kwako lazima atake hela ila akija pande hizi hathubutu kuomba chochote ni mimi mwenyewe tu niamue kutoa kwa upendo sio kwa kulazimika scenario hizi nimekutana nazo nyingi sana mkuu hawa watu wanaamua tu kuishi hivyo wanavyoishi ila sio kwasababu wameumbwa hivyo,wana akili kama sisi pengine kutuzidi.
 
Jamaa anajihami siku ya kufulia aonewe huruma. Maisha ni pesa, wewe kama unadhani kurusha picha insta umejibinua coco ndo utapata mke si kwa awamu hii asee utaishia kupiga punyere au/na kukalia Msumari wa Nyama kama j.delishiaz
 
Kwa kweli kuna wanawake wanalia wakiomba kwa Mungu, uchumi wa mume uyumbe au hata augue; only that itamfanya aishi na mumewe kwa furaha. Na wanaume wengi hawajui kuwa baraka zao zipo mikononi mwa wake zao; muumize tu mkeo, alie machozi then utaona mambo yako
Wanawake mnapenda sana kuonewa huruma ila nyie hamna huruma kwa wanaume hata kidogo na hiyo ni roho chau na ubinafsi tu
 
baada ya kuua hapa umetaifisha hadi makaburi hahaha.
Nimegundua bado kuna wanawake wenye mawazo ya kizamani wengi sana hasa hapa nchini kwetu mawazo ya ugolkipa Dunia ya leo mwanamke na mwanaume wote tunatafuta kipato ndio maendeleo hayo hawa wa kusubiri watateseka sana.
 
Jamaa anajihami siku ya kufulia aonewe huruma. Maisha ni pesa, wewe kama unadhani kurusha picha insta umejibinua coco ndo utapata mke si kwa awamu hii asee utaishia kupiga punyere au/na kukalia Msumari wa Nyama kama j.delishiaz
Binti unaongea sana punguza mdomo wanaume hawana maneno mengi.
 
na wewe utakuwa manzi tu. hizi kauli siyo za mwanaume anayeelewa maisha ya kutafuta kwa jasho.
Manzi ni wewe unaelilia mwanamke akusaidie kimaisha. MAAJABU SANA aisee!!. Mwanaume kamili hupambana kwa jasho lake ndo heshima ilipo. Mwanamke kwa asili hakuumbwa kupata shuruba. Hata ukibahatika kupata anaejibidisha akawa "anasaidia" majukumu usibweteke aisee ni aibu sana kujivunia msaada wa mwanamke "mkeo"
 
Back
Top Bottom