Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,366
- 30,600
Lakin kama wanaomba uchumi wa mume ushuke, huon kuwa wanakosea. Mume akifilisika ni kwa faida ya nani?Kwa kweli kuna wanawake wanalia wakiomba kwa Mungu, uchumi wa mume uyumbe au hata augue; only that itamfanya aishi na mumewe kwa furaha. Na wanaume wengi hawajui kuwa baraka zao zipo mikononi mwa wake zao; muumize tu mkeo, alie machozi then utaona mambo yako