Kwanini mwanaume apunguze miaka yake?

Kwanini mwanaume apunguze miaka yake?

Naona umesema opposite.

Huku kwetu ndo watu hawapendi kuweka wazi umri wao na ni kukosa heshima kabisa kuuliza.

Happy birthday how old are you?

Mbongo: miaka kadhaa.
Bongo kweli ni swali la kawaida ambalo linamsaidia muulizaji kutaka kujua kama wewe ni kijeba au ni minor.
 
Kwanini Swala la umri ni sensitive sana?

I'm always free kutaja umri wangu halafu ukiuliza waliokuuliza hawataji ng'o
mi mwenyewe sitaji umri sahihi ng'oo yanini nionekane mzee wakati umbo ni la kijana wa miaka 21...... hahaha
 
Nadhani umri una maana kwenye kuwalinda Juvenile ambao wako under 18, zaidi ya hapo umri siyo issue, na ukiwa unapenda sana kujuwa umri basi ukijuwa mwaka alioanza mtu Primary school na hata umri wake unajulikana. by the way mambo mengine ni ya kipuuzi kabisa kwa mtu kutaka kujuwa kutoka kwa mwenzio.
 
Kuna watu wanatumia calendar ya Egypt I guess. Leo umri unapanda, kesho unashuka, kesho kutwa unastuck. Kama hutaki kutaja umri si usitaje tu mwee
 
ni wachache sana hutaja miaka yao halisi. Mtoa mada kauliza wanaume kupunguza miaka.. Ukweli ni kwamba jamaa hatak ujue miaka yake. basi inatosha tuishie hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiona hvo ujue yuko nyuma ya wakati yan kuna vitu alihitaji kuwanavyo akiwa na 32 sasa ana 36 lkn bdo kwaio anajisahaulisha unaweza kuta hata yy anaamini ana 32 wakati kiukweli ana 36 kujipa moyo.
 
Nilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi Kwanini)

Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32.

Ukiuliza anapotezea anasema tu "me kweli nina 34". Alivyoniambia ana 32 nikazungusha tu macho.

Kwanini adanganye? Ni rafiki tu.
Tatizo wanawake wa jf wanapenda wanaume wenye umri mkubwa sisi wenye umri mdogo hatuna nafasi ndio maana tunadanganya....ll huyo chalii anaweza kuwa ana miaka 21
 
Wewe kila siku unauliza miaka yake ili iweje. Uliuliza ukaambiwa 36, tena ukauliza ukaambiwa 34 tena ukauluza ukaambiwa 32.

Wewe kila siku unauliza miaka yake ikusaidie nini wakati huo huo unadai yeye ni rafiki, rafiki kila siku unataka miaka yake ufanyie nini?

Kama unampenda mwambie siku kila siku kuuliza miaka yake kisha unakuja kulalamika humu.
 
Nilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi Kwanini)

Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32.

Ukiuliza anapotezea anasema tu "me kweli nina 34". Alivyoniambia ana 32 nikazungusha tu macho.

Kwanini adanganye? Ni rafiki tu.
mwanaume anayepunguza umri wake ujue hana hela
 
Mtu wa hivyo kama ni rafiki yako indeed muotee siku akivaa pensi au bukta angalia ngoko zake mana huwa hazidanganyi..afu watu hawajui tu ukiwa mkubwa kiumri hata heshima inakuwepo bhana ilimradi tu hufanyi mambo ya kitoto/kipuuzzi
 
Sijui kwanini watu huwa wanaficha umri, najiulizaga hata sipati jibu
Mimi nampenda mdada Fulani halafu yule mdada .....ana miaka 24 kama yangu..ni lazma hapo ni ungeze miaka kadhaaa.....na kama ni mdogodogo under twenty lazma nijifanye mdogo mwenzieeee.....kwa hiyo ninyi beibz mchangia kwa kiasi kikubwa sisi kudanganya miaka.
 
Okoa gharama za kusherekea birthday kwa kuchagua February 29, utakuwa unasherekea baadhi ya miaka tu.
 
Back
Top Bottom