mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Habari zenu wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?
Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.
Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?
Karibuni
Very true bro!mkuu utafananishaje thamani ya mtu na starehe, ina maana huo mpira we ukiugua mpira utakutibu, mpira utakupikia, mpira utakufulia nguo!... ni kweli wengi wetu tunawaacha wapenzi wetu na kwenda mpirani, ila sio kwamba mpira una nguvu kuliko yeye. kwa swali lake hilo ungetafakari kabla ya kumjibu, kwanza ungemwambia thamani yake ni kubwa sana ktk maisha yako na haiwezi kulinganishwa na mpira, ila ungesema kupitia mpira natapa mda wa kujichanganya na rafiki zangu, kuburudisha akili, kuwa na mahusiano mazuri na jamii na kupata watu ambao waweza kuwa msaada ktk mishe za kimaisha... hivyo mpenzi wako angejua na angetambua kuwa ni kweli kuna wakati we kama mwanaume unahitaji kuwa na wanaume wenzako kwa ajili ya kujadili mambo ya kimaendeleo, ukimpa jinu safi kama hilo hutosikia hata siku moja akachukia ukimuaga kwenda mpirani....ila jibu ulilompa ni baya, ina maana hata babu yako, bibi yako, wajomba zako, shangazi zako huwathamini kama unavyouthamini mpira!? kuwa makini mwanamke anahitaji mwanaume mwenye busara kuanzia majibu yake na mengieyo, waweza kumpoteza kirahisi hivyo maana kama kuna mtu anamfatilia anaweza kumkubalia maana atakuwa keshaanza kuhisi kuwa kwako huna muelekeo hata wa kumuoa bali kumtumia tu. kama mwanaume hakikisha kila neno litokalo kinywani mwako liwe la kutunza yako kama mwanaume sio unajibu tu kama muimba taarabu
ha ha ha haHalafu usipende kufananisha mpira na vitu vya kijinga
Habari zenu wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?
Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.
Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?
Karibuni
hahahaha.. yaonesha na wewe unaupenda mpira sana. yani dem kitu cha kijinga?Halafu usipende kufananisha mpira na vitu vya kijinga