Kwanini mwanamke ukimuambia ukweli ananuna?

Sawa mkuuuu hili neno hutumika humu jamii forum saana

Nahisi demu wako mlipatana humu jf ahahahah

Sawa mkuu
 

Mkuu mpige talaka
 

Aisee utoto ni shidaaa...
 
Ha Ha Ha Ha, Unaniogopesha, hata mimi nupenda mpira sana. Ila huwa na act kama nampenda yeye kuliko mpira.
 
Akili zao zinafarijika zaidi wakidanganywa
 
uko very smart mangi.....kutoka ktk uvungu wa moyo wako.......hao hawajielewi....ndivyo walivyo.....ungemwambia wewe kwanza atataka kupanda kichwani..... komaaaa,,, kugegeda ni burudani na soka nalo ni burudani....viwango ndo tofautiiii....
 
Dadeki kwa hiyo mpira ni muhimu kuliko baby?

Mh real madrid wanakipiga na barca uniambie nibaki nyumbani kisa baby, usintanie ww,tatizo wanawake hawapendi kuheshim tunavyovipenda
 
Mh real madrid wanakipiga na barca uniambie nibaki nyumbani kisa baby, usintanie ww,tatizo wanawake hawapendi kuheshim tunavyovipenda

Hahaha nyie na mipira yenu mmezidi lakini. Hatujawakataza msiende, nendeni tu mkaangalie
 
Ngoja na yeye akuambie anapenda whatsap kuliko wewe.
 
Hahaha nyie na mipira yenu mmezidi lakini. Hatujawakataza msiende, nendeni tu mkaangalie

Mbona cc wengi wetu hatupendi taarabu lakini mnapokuwa mnasikiliza au kuangalia hatuzimi
 
Oooh! Next time usimwambie ukweli mkuu! Mdanganye Tu coz ndo wanaskia raha wakidanganywa!
 
Hahaa haaaaa du hiyo kali,hapo ilitakiwa umdanganye hayo yote yasinge kukuta.
 
Yaan hata niwe na ukame namna gani na siku hiyo kuna match ya REAL MADRID...aisee match ya madrid kwanza
 
Ndugu yangu mimi mwenyewe napenda mpira balaa.ila siwezi kusema hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…