Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,053
Me sio wa mchezo...Dah... una jicho la tofauti.
Hii ni research topic ya PhD kabisa
Me sio wa mchezo...Dah... una jicho la tofauti.
Wanagongwa na umbwa tena? 🙄Na wanawake wasijirahisishe. Unaenda kugongwa na mbwa wa mzungu ili iweje?
Jijini Dar es Salaam. Yesu akifika, atafikia hapa. Shetani naye akifika atafikia hapahapaWanagongwa na umbwa tena? 🙄
Hamna shoga mwanaume. Mwanaume ukiingiliwa tu, umepoteza sifa yako adhimuMashoga akina noel rio Calvin na wenzao ninwanawake??
Mashoga wote ni mashoga na wala sio wanaumeHamna shoga mwanaume. Mwanaume ukiingiliwa tu, umepoteza sifa yako adhimu
swali zuri sana,,sio tu unatoa maoni yasio na muafaka wa tatizoTunafanyeje sasa ili tusonge mbele?
Kwa hio MUNGU ni Mwanamke? Tinakoelekea sio kuzuri hizi agenda zao za Siri hizi za kutaka kuubadirisha ulimwengu mzima uwe ni jinsia ya wanawake hata wanaume wawe na tabia za kike kike waweze kuingiliana wao kwa wao sio kuzuri tinakoenda yaan Iblis Bin Shetan akafanya ufilauni na Kaka yake shetani ?
Mnaenda wapi? China?Nimekutumia clip mpya...
Kesho tusafiri tena babe..😜
Ataniambia yeye wapi tuna safiri, mie nabeba kishkwambi kilichojazwa zile utam.com😜🤣Mnaenda wapi? China?
😆😆 Watakuja kwa speed ya 6GHii mada ni kubwa sana ni ya watu wenye akili kubwa. Sema ma oya oya wakiamka wakaivamia kwisha kazii
Umenifurahisha Ulivyo wa tagg,waje wamtete malaika waoKwa hio MUNGU ni Mwanamke? Tinakoelekea sio kuzuri hizi agenda zao za Siri hizi za kutaka kuubadirisha ulimwengu mzima uwe ni jinsia ya wanawake hata wanaume wawe na tabia za kike kike waweze kuingiliana wao kwa wao sio kuzuri tinakoenda yaan Iblis Bin Shetan akafanya ufilauni na Kaka yake shetani ?
Almighty not as 'He' kwa hio Almighty atakua ni 'She'
Naishia hapa
Kama wanawake tuliumbwa na akili chache mbona tunawazidi na kuwashawishi kwa haraka nyie wenye akili nyingii,kuanzia bustan ya eden,Samson na delila nk...kwann sasa msitumie izo akili zenu kukwepa mjanga.Wanawake waliumbwa kama Midori yetu na waliumbwa na akili chache sasa zenye akili muda mwingi wanamuwaza shetani na hawatosheki kama shetani asivyotosheka