Unajua tofauti ya journal na kitabu?Hiyo ni topic katika vitabu vya psychiatry and mental health,
Reference nzuri ni kitabu cha LOUISE REBRACA SHIVES - BASIC CONCEPT OF PSYCHIATRY - MENTAL HEALTH.
Pia kipo kwenye tovuti ya mwandishi hii hapa www.ketabpezeshiki.com
Nimekuwekea screenshoot
View attachment 813806
Labda uje na hoja nyingine, but hii uliyoitolea mfano kusoport hoja yako ni sababu fake na ni ya uongo.Mwanamke yupi?
Wanawake hawako sawa. Kwa nini unauliza swali kama wako sawa?
Tatizo hata spelling ya "support" hujui halafu unabishana makubwa zaidi.Labda uje na hoja nyingine, but hii uliyoitolea mfano kusoport hoja yako ni sababu fake na ni ya uongo.
Sijajua kama unapinga hoja au unapinga kitabu? Hukiamini hata kitu smbacho kinapatikana kiurahisi kabisa ktk vitabu unataka journal?Unajua tofauti ya journal na kitabu?
Kitabu mbona hata mimi naweza kuandika?Sijajua kama unapinga hoja au unapinga kitabu? Hukiamini hata kitu smbacho kinapatikana kiurahisi kabisa ktk vitabu unataka journal?
Au unapinga ilimradi tu unapinga?
Ukikataa kuamini kitu ambacho kina ushahidi wa kisayansi na ni applicable basi leta ushahidi na wewe unaopinga hiyo reference?
Watu wapo makazini, wengine walikufundisha kwa kutumia vitabu kama vilivyoandikwa na kupitishwa vitumike ktk masomo flani nao walikufundisha uongo?Kitabu mbona hata mimi naweza kuandika?
Nimeuliza article katika peer reviewed journal.
Unaelewa journal ni nini? Unajua peer review ni nini?
Swali la mwisho kwako, unaelewa nini kuhusu delusion?Kitabu mbona hata mimi naweza kuandika?
Nimeuliza article katika peer reviewed journal.
Unaelewa journal ni nini? Unajua peer review ni nini?
Nimeuliza peer reviewed journal kwa sababu ukitaka kutafuta kitabu kinachosema Waafrika ni nyani utakipata.Watu wapo makazini, wengine walikufundisha kwa kutumia vitabu kama vilivyoandikwa na kupitishwa vitumike ktk masomo flani nao walikufundisha uongo?
Delusion unayo wewe unayeforce crackpot theory iwe ukweli.Swali la mwisho kwako, unaelewa nini kuhusu delusion?
Hiyo ni topic katika vitabu vya psychiatry and mental health,
Reference nzuri ni kitabu cha LOUISE REBRACA SHIVES - BASIC CONCEPT OF PSYCHIATRY - MENTAL HEALTH.
Pia kipo kwenye tovuti ya mwandishi hii hapa www.ketabpezeshiki.com
Nimekuwekea screenshoot
View attachment 813806
Soma neno kwa neno hatua kwa hatua, then uone jinsi ulivyo danganyaLUCKDUBE
1. Kwanza nimekuomba peer reviewed journal hujaleta, umeleta kitabu, hujui tofauti ya peer reviewed journal na kitabu.
2. Nikasema haya, umeleta kitabu, ngoja nisome nione labda kuna cha kujifunza. Hata hicho kitabu ulicholeta kama ushahidi wa kuonesha kwamba mwanamke kumpenda mwanamke ni sexual disorder, hakisemi hivyo, ulipo highlight hakuna palipoandikwa hilo. Umedanganya.
Ulipo highlight wameandika:-
"Sexuality is determined by anatomy, physiology, psychology, the culture in which one lives, one’s relationship with others, and developmental experiences throughout the life cycle. It includes the perception of being male or female and all those thoughts, feelings, and behaviors connected with sexual gratifi cation and reproduction, including the attraction of one person to another. —SADOCK & SADOCK, 2008"
Naomba unipe nukuu kutoka hichokitabu inayosema kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwenzake ni sexual disorder.
Soma neno kwa neno hatua kwa hatua, then uone jinsi ulivyo danganya
View attachment 814073
[emoji1]Umenitaka nisome neno kwa neno.
Nimesoma neno kwa neno.
Unafahamu maana ya neno "may" ?
Hujajibu swali, unaelewa maana ya neno may?[emoji1]
This is red herring,
Usidivert mjadala ulitaka nukuu sasa hivi unataka neno?
Jibu swali "kwanini mwanamke anampenda mwanaume?"
Swali gani hili mkuu? Mbona jibu lake lipo wazi sana. Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu moja tu: kit0mb0!!! Mwanamke inatakiwa umt0mb3 hadi atapike sh@h@w@ ndipo atakuelewa. Wewe endelea kumchekea uone jinsi masela yatakavyokut0mb3A!Mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?
Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?
Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,
Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .
Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
Hili swali limekushinda, nakuletea lingine ambalo hakuna hata mmoja aliyeweza kulijibuHujajibu swali, unaelewa maana ya neno may?
Nikikwambia pombe inaweza kusababisha kichaa, maana yake kichaa kinasababishwa na pombe?
Hujanionesha wapi pameandikwa kwamba mwanamke kumpenda mwanamke mwingine ni sexual disorder.Hili swali limekushinda, nakuletea lingine ambalo hakuna hata mmoja aliyeweza kulijibu