Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Ahaa nshaanza kuhisi unachota,isiwe ile ya MWANAMKE hupenda kwa kusikia(yaani ukiweza kumskilizisha anachopenda Basi,na MWANAUME hupenda kwa kuona(yaani ukiweza kumuonyesha anachotaka Basi) Et! MWANAMKE anapenda nyama ya ulimi kwa MWANAUME, ukimpa maneno matamu kwisha habari
Hapa kuna harufu ya ukweli wa jibu, mchoro mzima wa swali upo kwenye comment yako,
Lakin hayo majibu ni yapi?
 
Unauliza "mwanamke" kama vile wanawake wote wako sawa.

Women are not monolithic.

Unauliza sababu za mwanamke kumpenda mwanamme, wakati kuna wanawake wengine hawapendi wanaume, wanapenda wanawake wenzao.

Be specific please.
 
Haaa haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke mie
 
Lakini mkuu hamwapendi wanawake kama inavyotakiwa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji25]
mkuu huwezi kujua kiwango ninavyopenda mimi.
kwangu mwanamke thawabu kubwa, kwani ukimuwezea anashukurani na utafurahia dunia.
kosa kubwa kwetu ni kutowawezea japo natambua ni kazi rahisi sana kumhandle ke hata awe komandoo
 
Fact no 6
 
Ingekuwa vizuri sana wakaja hapa Wanawake na wakajibu hili swali lako.
 
mkuu huwezi kujua kiwango ninavyopenda mimi.
kwangu mwanamke thawabu kubwa, kwani ukimuwezea anashukurani na utafurahia dunia.
kosa kubwa kwetu ni kutowawezea japo natambua ni kazi rahisi sana kumhandle ke hata awe komandoo
Asante kwakuwapenda wanawake, endelea hivyo hivyo [emoji120] [emoji120]
 
nimegundua umemiss upendo wa dhati, hebu kosea njia kidogo uje kwangu...utaleta mrejesho humu[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo njia niliopita haina milima wala mabonde imenyooka tu [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo njia niliopita haina milima wala mabonde imenyooka tu [emoji2]
utasinzia dereva, njia muhimu kupinda kipenzi..tuanzie hapo[emoji23]
 
utasinzia dereva, njia muhimu kupinda kipenzi..tuanzia hapo[emoji23]
Haaaa haaa hamna kusinzia pembeni kuna mbuga hivyo natizama tizama kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…