Kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?

Haya japo hata mm si mpnz sana wa urojo lakini nikaona si vibaya kukuwekea kama unatumia...
Haaa haaa kinacholiwa nitakula tu asante sana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Maswali ya kizamani sana hayo
 
Mheshimiwa ngoja nikusaidie katika hili. Mwanamke ishi naye tu hivyo hivyo. Hata ukijitahidi kumfanyia wema vipi, usishangae siku akikwambia " bwana wewe Mimi kwako sijawahi kupata heri maisha".
 
Kwamba,
"mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa nae, akiwa nae anampenda mwingine tena"

Nimeipata point yako,

Swali kwako,
Kama mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa naye,
Akiwa naye anapenda mwingine tena,
Je wanawake wote ni MALAYA ?
Hapana Bro Dube,hapana kabisa
MALAYA;Ni mfanya biashara ya
NGONO,yeye hana mda na Mahusiano,yeye hutoa MWILI na
MWANAUME hutoa PESA,then
Mahusiano huishia hapo.
 
Hapana Bro Dube,hapana kabisa
MALAYA;Ni mfanya biashara ya
NGONO,yeye hana mda na Mahusiano,yeye hutoa MWILI na
MWANAUME hutoa PESA,then
Mahusiano huishia hapo.
Kuna utofauti gani kati ya kahaba na malaya ?
 
Mheshimiwa ngoja nikusaidie katika hili. Mwanamke ishi naye tu hivyo hivyo. Hata ukijitahidi kumfanyia wema vipi, usishangae siku akikwambia " bwana wewe Mimi kwako sijawahi kupata heri maisha".
Sijaielewa pointi yako
 
Maswali ya kizamani sana hayo
Kama nibya zamani basi unayafahamu,
Na kama unayafahamu basi unayajua,
Na kama unayajua basi majibu yake unayo,

Tupe hayo majibu yako,
Na kama hauna majibu basi huyajui,
Na kama huyajui basi huyafahamu,
Na kama huyafahamu basi sio ya zamani,
Na kama sio ya zamani basi hujui unachokisema.
 
Ni baada ya .......... ndiyo yeye anapenda, lakini kinachofuata apendwe kisha yeye ni kutii
[emoji1]
Dah,

Sentensi yako imekick kitu flani kwenye fikra zangu, kuna kitu nimekigundua ambacho ndio msingi wa utata wa swali unapo anzia.
 
Kwamba,
"mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa nae, akiwa nae anampenda mwingine tena"

Nimeipata point yako,

Swali kwako,
Kama mwanamke anampenda mwanaume asiyekuwa naye,
Akiwa naye anapenda mwingine tena,
Je wanawake wote ni MALAYA ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Siku zote alichokipanga Mungu kikipanguliwa na mzungu risk of damaging inakuwa kubwa kuliko kawaida.

Mungu hajaribiwi katu.
 
Kuna utofauti gani kati ya kahaba na malaya ?
Kwamujibu wa kamusi,
Izi maneno mbili ni synonymous
Of each other (yaan yana maana Sawa)
Ila kwa kuongezea nyama kidogo
KAHABA:huyu ni MWANAMKE ambaye yuko addicted na
NGONO anaeza fanya ata na MBWA!!!
 
Naona mnavyoyumba yumba na majibu yenu kama chombo kilichokosa uelekeo. Binafsi majibu yangu ninayoyaamini siku zote za maisha yangu ni "Sitokaa nijihangaishe kukifahamu kiumbe hiki"
Ujue inashangaza sana,

Ukimuuliza mwanamke kwa nn kajiunga jamii forum atakueleza,
Ukimuuliza kwa nini leo hujaenda kazini atakueleza,
Lakini ukimuuliza kwanini unampenda mmeo, utashangaa jibu utakalopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…