Kwanini Mungu yupo?

Mungu ni undefined object,achunguziki kisayansi zaidi ya kiroho.Shetan pamoja na nguvu zake zote still hawezi fikia ukuu wa Mungu
Sawa, Je Mungu ana Purpose Gani ya yeye kuwepo?
 
Huwezi kuwa na muda bila kipimo?
Kwahyo kwakuwa ngombe hawana saa basi Hawana muda? Kwasababu hawawezi kuupima?

Matukio hayabadiliki?
Maana kykiwa na mabadiliko TU ya matukio basi Kuna muda.

Muda usipokuwepo kila kitu kinge'pause.
 
ila lazima atakuwepo yule Mungu wa kwetu sote...yule aliyetuumba dini zote na kabila zote
God the creator-is who I'm talking about
 
Mtoa mada kabla ya kujibu swali lako, ningependa kwanza nifahamu swali lako la "Kwanini mungu yupo?" Unifahamishe.

Unaposema kwanini mungu yupo, Je unamaanisha mungu yupi?
Mungu aliyetuumba binadamu wote na kuumba ulimwengu wote
 
Mtaongea weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! lkn Mungu kamwe hatajulikana kwa kondoo wasio wake! kwa sababu kondoo wake wanamjua mchungaji wao!!

Na mbinguni hamwendi ng'oooooooooooo!
Wewe ndo mlinzi wa mbinguni?😂
 
" Religion is regarded by the common people as true, by the wise as false, and by the rulers as useful " - Lucius Annaeus Seneca (3 BCE - 65 CE)
 
Mungu kaumba ulimwengu lakini wanaondesha ulimwengu ni watu wengine kabisa
 
Aaah hizo ni conspiracy theories Sasa
Kule kuna baadhi ya mbanga zilitabiriwa na zinatokea sasa hivi. Huu ulimwengu bana kuna watasha wanaujua vizuri tu sisi yetu macho
Nakupa kingine tena soma MORALS AND DOGMA.
 
Hapan
Wewe ndo mlinzi wa mbinguni?😂
Hapana Mkuu, alafu sikia na ujue hakuna kitu ''mbingu'', hiyo ni yako!! pili mie siyo Mlinzi...bali Mungu Mwana Mfalme! ndo cheo changu amini nakwambia!!
 
ila lazima atakuwepo yule Mungu wa kwetu sote...yule aliyetuumba dini zote na kabila zote
God the creator-is who I'm talking about
Kasome kisa cha Esau Mungu alimchukia waziiiii.......sasa jiulize Mungu anaweza kuchukia Mwanae??...na kizazi cha Esau kipo Duniani mpaka napoongea na wewe sasa hivi!

Utake usitake Binadamu tupo tofauti sana! kuna wengine ni watoto wa Lilith! na shetani ana uwezo mkubwa si kitoto!''!! ''kerubi afunikae!'' alibaki nao ule aliopewa na Mungu kabla ya uasi

hkn sehemu inayosema alipokonywa ule uwezo! usicheze na devil weye kijana! kwa Mungu hakitoki kibovu bovu hivi never!
 
mtazunguka weeee lakini mtarudi pale pale tu kuwa Mungu ni jina wakilishi la ukomo wa utambuzi na ufahamu!
Mungu ni wema kama ilivyo shetani ni ubaya!

Hata huo Wema na ubaya hutofautiana kulingana nini wahusika wamekubaliana kama sheria dunia.
Ndio maana tunatofautiana wapi pa kuanzia kumhusisha huyo Mungu. yan NGUVU! kulingana na kiwango cha kiutambuzi na ufaham.

tujiulize tu bila uwepo wa ujenzi wa hofu ya yasiyoonekana na yatarajiwayo, mahusiano kati ya viumbe na mazingira yao yangekuwaje?
heko kwa wabunifu wa hofu na hatma baada ya kifo!
 
Hapan

Hapana Mkuu, alafu sikia na ujue hakuna kitu ''mbingu'', hiyo ni yako!! pili mie siyo Mlinzi...bali Mungu Mwana Mfalme! ndo cheo changu amini nakwambia!!
Nakuabudu....Mungu wanguu...Eehh Mungu naomba unibariki. Usiponibariki ntaenda kucheki Kwa Mungu wa mwamposa, akishindwa ntaenda Kwa Mungu wa Waislam.

Ila yote haya ni kwaajili ya umasikini TU ..Mi najua siku nikitajirika ntaacha hata kwenda kanisani.
 
Hapana...Hatuitaji kuamini Mungu ili kujenga mahusiano. Mungu Hana haja ya kuaminiwa ili binadamu tuendelee.
Tutadevelelop morals, justice, constitution, principles na governance bila hata kuhitaji kuamini Mungu.

Maana hivyo vitu vyote havihusiani na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…