Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Kwanini Mtume amepoteza watu hivi?

Sawa Kabisa. Mama yake Mtume Muhamad alikuwa dini gani?
Wazazi wake Mtume Muhamad walikuwa wapagani na walikuwa wakiabudu masanamu yaliyokuwepo Alkaba

Baba yake aliitwa Abd Allah bin Al Mutallib ,mana yake mtumwa wa Allah na alikuwa akiabudu sanamu sasa inabidi ujiulize Allah ni Mungu gani
 
Tanganian mjibu mtaalam hapo
 
Haya mambo ya Mungu wangu ni bora kuliko Mungu wako huwa yananikasirisha sana......
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Leta ushahidi kuwa hakukuwa na uwezekano wakupata nakala za nyuma
 
Sawa hii Dunia imeumbwa kwa kutumia material gani? Okay tuseme haujui kwakuwa haujaiumba wewe alieiumba ndo anajua Sio? Okay sawa umejuaje kuwa imeumbwa? Na alieiumba Yuko wapi? Na alipokuwa anaiumba alikuwa sehemu gani na hiyo sehemu alimokuwa paliumbwa na nani?
 
Mtume pekee aliyefanikiwa kuwahubiri malaika waasi yaani mashetani au majini hadi yakaamini ni mtume Mohamad SAW. Wengine wote walishindwa kuanzia Adamu hadi Yesu wote walishindwa (QURANI 72:1-14)

Sasa wewe unapingana na waislam wenzio. Nani alisema mashetani ndiyo majini. Uislam unaamini kwamba kuna majini mazuri
 
Sio ujinga sema unaumia 🤣🤣🤣🤣 Uislamu Ulikuwepo tangu dunia inaumbwa ... Ukristo na Mungu wenu hata hamjui Musa kwa sababu Musa alikuwepo kabla ya kuzaliwa Mungu wenu🤣
Basi kabila la Musa ilitakiwa wawe waislam na huo ndo uongo mwingine
 
Kutoelewa kwako, hiyo siyo shida yangu.

Kama huelewi muktadha rahisi kama huu, ndiyo utaelewa kweli kiarabu cha zamani cha kwenye kuluwan mnayo kutana nayo msikitini tuu kwa kurudia rudia maneno yale yale kwa muda wa masaa mawili mfululizo?
Mbona hueleweki? Uliza swali ujibiwe sio unabinuka.🤣🤣
 
Muhammad ndiye muanzilishi wa dini ya Uislamu, jamaa ameharibu watu kwa dini na kitabu cha kutunga kwa kuiba kutoka vyanzo hasa vya wayahudi na wakristo waasi ,Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya Apokrifa kwa 80%
10% ni TAMADUNI za kiarabu, 10% ni mawazo ya Muhammad

Hadithi 20 Zinazopatikana Katika Qur’an na Vitabu vya Apokrifa

Kwanza nitoe utangulizi

Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya kale yanayohusiana na dini ya Kiyahudi na Ukristo, lakini havikujumuishwa katika Biblia rasmi kwa sababu mbalimbali. Wakristo wengi, hasa wa madhehebu ya Kiprotestanti, walivikataa kwa kuwa viliandikwa katika kipindi ambacho Mungu hakuwa akituma manabii (kipindi kinachoitwa Intertestamental Period au Silent Years – zaidi ya miaka 400 kabla ya ujio wa Yesu). Hata hivyo, baadhi ya madhehebu kama Wakatoliki na Waorthodoksi bado wanatambua baadhi ya vitabu vya Apokrifa.

Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.

Hizi ni baadhi ya Hadithi ambazo Muhammad alisimuliwa na wayahudi na wakristo wa apokrifa akazicgukua na unazikuta ndani ya Qur’an ,Leo

  1. Yesu (Isa) kutengeneza ndege kwa udongo na kumpa uhai
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:110) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Infancy Gospel of Thomas (karne ya 2 CE, takriban mwaka 140 CE)
  2. Uzazi wa Bikira Mariamu (Maryam) bila kuguswa na mwanamume
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:16-22) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  3. Yesu kuzungumza akiwa bado mtoto mchanga
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:29-30) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Arabic Infancy Gospel (karne ya 6 CE, takriban mwaka 570 CE)
  4. Hadithi ya Mtume Idris (Henoko) kupaa mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  5. Hadithi ya Mtume Nuhu na gharika kuu
    Qur’an
    : Surah Hud (11:36-48) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  6. Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
    Qur’an
    : Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
    Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
  7. Hadithi ya Kijana wa Maajabu (Ashabul Kahf – Watu wa Pangoni)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:9-26) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Seven Sleepers of Ephesus (karne ya 5 CE, takriban mwaka 450 CE)
  8. Kifo cha Nabii Zakariya na namna alivyouawa
    Qur’an
    : Surah Al-An’am (6:85) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  9. Hadithi ya Harut na Marut – Malaika waliokuja duniani kujaribiwa
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:102) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  10. Malaika wakimfundisha Nabii Henoko hekima za mbinguni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:56-57) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
  11. Hadithi ya Dhu’l-Qarnayn (Mtawala wa Mashariki na Magharibi)
    Qur’an
    : Surah Al-Kahf (18:83-98) – Iliteremka takriban mwaka 620 CE
    Apokrifa: Alexander Romance (karne ya 3 CE, takriban mwaka 300 CE)
  12. Nabii Abraham (Ibrahim) kuvunjavunja masanamu ya mji wake
    Qur’an
    : Surah Al-Anbiya (21:51-70) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  13. Nabii Musa na Samiri – Mchawi aliyewapotosha Waisraeli
    Qur’an
    : Surah Taha (20:85-97) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  14. Nabii Yahya (Yohana Mbatizaji) alivyowekwa wakfu tangu utotoni
    Qur’an
    : Surah Maryam (19:12-15) – Iliteremka takriban mwaka 615 CE
    Apokrifa: Protoevangelium of James (karne ya 2 CE, takriban mwaka 150 CE)
  15. Kifo cha Kaini baada ya kumuua Abeli
    Qur’an
    : Surah Al-Ma’idah (5:27-31) – Iliteremka takriban mwaka 631 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  16. Hadithi ya Adamu na Hawa kuanguka kutoka Peponi
    Qur’an
    : Surah Al-Baqarah (2:30-38) – Iliteremka takriban mwaka 623 CE
    Apokrifa: Apocalypse of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 50-100 CE)
  17. Nabii Lut na miji ya Sodom na Gomora
    Qur’an
    : Surah Hud (11:77-83) – Iliteremka takriban mwaka 621 CE
    Apokrifa: Book of Jubilees (karne ya 2 BCE, takriban mwaka 150 BCE)
  18. Mikaeli na Shetani wakigombania mwili wa Musa
    Qur’an
    : Haijatajwa moja kwa moja
    Apokrifa: Assumption of Moses (karne ya 1 CE, takriban mwaka 100 CE)
  19. Uzima wa Milele kwa Wateule wa Mungu
    Qur’an
    : Surah Al-Waqi’ah (56:10-40) – Iliteremka takriban mwaka 622 CE
    Apokrifa: Book of Enoch (karne ya 3 BCE, takriban mwaka 300 BCE)
Kumbe hadi Alexander Romance ipo ndani ya Quran🤣🤣🤣🤣
 
Uislamu Ulikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia , Muhamad (P.B.U.H) ameshushiwa wahyi hakuna anajua chochote ...Hapakuwa na biblia wale uwezo wa kupata nakala za nyuma kabla yake

Muhamad (P.B.U.H) anakuwa ni Mtume bora kwa kuweza kupewa elimu ya vilivyopita kabla yake yeye ...Qur an imekamilisha dini na haina shaka ndani yake.
Ni nani aliyempa Elimu mtume Mohammad?
 
Tanganian mjibu mtaalam hapo
Lakini mtume si alileta wongofu ,wanaoweza kuadhibiwa na wale tu waliokaidi ujumbe ulioletwa na mitume na ukawafiki...Kuanzia Mtume alipotata utume basi ilikuwa zama mpya za wongofu.

Kama ujumbe haujakufukia hauwezi kuadhibiwa kwa kitu usichokijua..

Surah Al-Israa (17:15):
"Mwenye kuongoka basi anaongoka kwa faida ya nafsi yake. Na mwenye kupotea basi anapotea kwa hasara ya nafsi yake. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Nasi hatukuwa wenye kuadhibu mpaka tumpeleke Mtume."

Wongofu unaanza mpaka apelekwe mtume kabla ya hapo ni ujahili(uncivilized)
 
Sawa hii Dunia imeumbwa kwa kutumia material gani? Okay tuseme haujui kwakuwa haujaiumba wewe alieiumba ndo anajua Sio? Okay sawa umejuaje kuwa imeumbwa? Na alieiumba Yuko wapi? Na alipokuwa anaiumba alikuwa sehemu gani na hiyo sehemu alimokuwa paliumbwa na nani?
Swali hili la kutumia akili kama kweli ni mzima kichwani ...Simple imeumbwa na Mungu mkuu...Kama una ushahidi baki lete hoja na mimi nilete hoja.
 
Leta ushahidi kuwa hakukuwa na uwezekano wakupata nakala za nyuma
Leta weqe ushahidi mtume atumia nakala hizo ,wakati alikuwa anafikisha ayah kulingana na muda husika ..Wahyi ameshushiwa sehemu tofauti na alikuwa akizipeleka kama zilivyo.

Zipo zimashushwa akiwa Makkah na nyingine Madinan, nyingine wakati wa vita ...Utasemaje alinakili...Onesha ushahidi kama alikuwa ananakili....
 
Back
Top Bottom