Even me cpendezwi kabisa mahusiano ya ivo. Bora mpishane walau mwaka 1 au miez au hata miaka miwili ingawa sio saana.Kwanza wanawake wanawahi kuzeeka kuliko wanaume.Mimi nachukia sana mahusiano ya mwanamke kumpita mwanaume umri mkubwa sawa na mama yake mzazi,yaan hata mkiongozana unaonekana uko na mama ako kumbe ndo mkeo huyo.Haipendezi
Watu wanajua kumantain figure gym kwa sana, healthy eating, unakutana na bibi wa miaka 70 unadhani anamiaka 50. Wengi wa wanawake waliolewa na vijana wadogo wanasema kuwa, mwanzo wa mapenzi mwanamke anakuwa ndiye mwenye uwezo wa kuendesha familia, anamuwezesha kijana, kijana akipata mkwanja jeuri inaanza.
kuoa mke alokuzid umri ni kukiuka asili ya ndoa. we kumbuka adam na hawa nani alitangulia kuumbwa? adam ndo mkubwa baadae akafuata hawa. sasa iweje leo mtu na akili zako ukaoe mtu aliekuzid umri!!!!!??.
Hayo ni maadili ya Kiafrica tu? Mbona Joan Collins amemzidi mume wake miaka 30 na wanaishi vizuri tu.
Nashangaa!Nikulee, afu uniletee mkamwana wa mie kumwamkia? Una kiranga
Asante the Boss, nilichanganya kati ya Joan na Jack.
Yah ni Joan Collins author, siwezi kuingilia mapenzi ya watu, kama kaka amependa kigeriatric ni mapenzi yake.
kuoa mke alokuzid umri ni kukiuka asili ya ndoa. we kumbuka adam na hawa nani alitangulia kuumbwa? adam ndo mkubwa baadae akafuata hawa. sasa iweje leo mtu na akili zako ukaoe mtu aliekuzid umri!!!!!??.