Kwanini mtoto wa kiume kioa/akitaka kuoa msichana/mwanamke aliyemzidi umiri wazazi hawafurahii?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,184
Ni mara nyingi nimewasikia kaka zangu wakihadithia kuwa, wazazi walipogundua mke wake/mchumba wake amemzidi umri hawakufurahia, wazazi wengine wanauliza, 'hukuona wasichana wadogo?'. Wazazi wanashindwa kuelewa kuwa mapenzi hayana umri.

Ni tofauti ya miaka mingapi inaweza kuwa kawaida ya kukubalika katika jamii?
 
Kiukweli ukiwa mkaka ukioa hajuza ujue wewe ndio no sei ndan ya nyumba yako so wazazi wanajua utageuka kua mtumwa ndan ya ndoa yako labda uwe mrefu au uwe na pesa za kutosha hata wazee/wakwezo wataku shikamoo!! chezea pesa!! Hivyo ni visingizio vya wazazi tu umri sio dili kwa wapendanao heshima nidhamu nk ndicho kinachotakikana
 
Even me cpendezwi kabisa mahusiano ya ivo. Bora mpishane walau mwaka 1 au miez au hata miaka miwili ingawa sio saana.Kwanza wanawake wanawahi kuzeeka kuliko wanaume.Mimi nachukia sana mahusiano ya mwanamke kumpita mwanaume umri mkubwa sawa na mama yake mzazi,yaan hata mkiongozana unaonekana uko na mama ako kumbe ndo mkeo huyo.Haipendezi
 
Watu wanajua kumantain figure gym kwa sana, healthy eating, unakutana na bibi wa miaka 70 unadhani anamiaka 50. Wengi wa wanawake waliolewa na vijana wadogo wanasema kuwa, mwanzo wa mapenzi mwanamke anakuwa ndiye mwenye uwezo wa kuendesha familia, anamuwezesha kijana, kijana akipata mkwanja jeuri inaanza.
 
Na wakishapata jeuri hayo maneno yake sasa. Mara oo..kwenda zako kikongwe wewe!! Mara ooh..acha nikatanue na vijana wenzangu we mzee nakupeleka wapi!!!
 
kuoa mke alokuzid umri ni kukiuka asili ya ndoa. we kumbuka adam na hawa nani alitangulia kuumbwa? adam ndo mkubwa baadae akafuata hawa. sasa iweje leo mtu na akili zako ukaoe mtu aliekuzid umri!!!!!??.
 
Hayo ni maadili ya Kiafrica tu? Mbona Joan Collins amemzidi mume wake miaka 30 na wanaishi vizuri tu.
 
Joan Collins the author?

wewe kaka yako akizidiwa miaka 30 uko okay?
imagesno.jpeg .................
 
Ingawa ni mapenzi, lakini wanawake wengi wanaolewa na vijana huwa uchumi wao umetulia, sijaona kijana alienda kwa mwanamke masikini aliyemzidi umri.
 
kuoa mke alokuzid umri ni kukiuka asili ya ndoa. we kumbuka adam na hawa nani alitangulia kuumbwa? adam ndo mkubwa baadae akafuata hawa. sasa iweje leo mtu na akili zako ukaoe mtu aliekuzid umri!!!!!??.

Si unajua ngo'mbe hazeeki maini!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom