msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,189
Unajiona unawine kwakauli zako,Zanzibar ni nchi kamili kwa 100%, lakini ipo kwenye 'shirikisho' linaloitwa Tanzania.
Tanganyika ni shamba la bibi ambalo kila mgeni anaweza kuingia na kuvuna chochote. Sisi wazanzibar, wengine warundi, warwanda, wakongo, wakenya, waganda, waarabu, wahindi, wachina, wazungu nk. kila siku tunavuna kwenye hilo shamba la bibi.
Watanganyika msitegemee kuna mtu kutoka nje atakuja kuwapigania, unganeni pamoja muipiganie Tanganyika yenu. Mjiandae kulipa gharama. Woga wenu ndio unawagharimu sasa.
Kwa taalifa yako Zanzibar ni koloni letu
Na hizo sheria zemewekwa ili kuwafanya muendelee kulala huo usingizi mlionao mpaka sasa.