Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,009
Bandarini ukiwa na kiparcel kutoka Zenji ni shida afu wanasiasa wanatuaminisha eti sisi ni nchi moja
katiba mpya ndio jibu
Kwani huyo aliyeko urais huko zanzibar si ni mtanganyika?Wakuu habari
Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa
Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika muungano huu.
N rahis kwa mzanzibar kumiliki ardhi TANGANYIKA kuliko MTANGANYIKA kumiliki ardhi Zanzibar
Kama muungano huu n wa usawa mbona unaubaguzi ndani yake nayasema haya nikiwa Zanzibar hapa kiutafutaji toka wiki iliyopita nikajaribu kufuatilia taratibu za umiliki wa ardhi kiukwel n ngumu mno kupata ardhi yaaan watoto wa mjin wanasema kwa mbinde Sana
SUALA LA URAIS. nalo naona n kizungumkuti Sana kwann watu wabara au Watanganyika hawatakiwi KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR lakn mzanzibar anaruhusiwa kugombea urais TANGANYIKA
RAIS SAMIA amewatoa mashekhe wanuamsho mahabusu lakn ameshindwa kuwatoa mashekhe mbalimbali ambao wapo magereza au mahabusu maeneo mablimbli Tanzania je Rais huyu yupo kwa maslah ya wazanzibar pekee Kama haki angetenda kwa wote
Tumeona pesa za covid zilizokopwa zimepelekwa had Zanzibar kujenga shule hospitali je mikopo wanayo kopa wenzetu wa Zanzibar lini ililetwa huku bara na sisi tukajenga shule na zahanati?
Huu muungano n wakuangaliwa kwa jicho la pili umekuwa wa kuwadekeza wazanzibar huku TANGANYIKA ikinyonywa
Kwahiyo we mzanzibar unahisi kama mnatufaidi watanganyika eeehhh hahahahahahahahhah very funZanzibar ni nchi kamili kwa 100%, lakini ipo kwenye 'shirikisho' linaloitwa Tanzania.
Tanganyika ni shamba la bibi ambalo kila mgeni anaweza kuingia na kuvuna chochote. Sisi wazanzibar, wengine warundi, warwanda, wakongo, wakenya, waganda, waarabu, wahindi, wachina, wazungu nk. kila siku tunavuna kwenye hilo shamba la bibi.
Watanganyika msitegemee kuna mtu kutoka nje atakuja kuwapigania, unganeni pamoja muipiganie Tanganyika yenu. Mjiandae kulipa gharama. Woga wenu ndio unawagharimu sasa.
Zanzibar Ni ndogo kieneo hivyo wakiruhusu na wabara wamiliki ardhi kule basi huwenda pakajaa ndio mshingi wa kutoruhusiwaNa Undugu usio na usawa Ni Unyonyaji. Mzanzibar amiliki Ardhi bara harafu mtu wa Bara asiruhusiwe kwenye nchi mnayoita Moja harafu tuseme Ni Undugu? Kasome maana ya Undugu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wakuu habari
Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa
Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika muungano huu.
N rahis kwa mzanzibar kumiliki ardhi TANGANYIKA kuliko MTANGANYIKA kumiliki ardhi Zanzibar
Kama muungano huu n wa usawa mbona unaubaguzi ndani yake nayasema haya nikiwa Zanzibar hapa kiutafutaji toka wiki iliyopita nikajaribu kufuatilia taratibu za umiliki wa ardhi kiukwel n ngumu mno kupata ardhi yaaan watoto wa mjin wanasema kwa mbinde Sana
SUALA LA URAIS. nalo naona n kizungumkuti Sana kwann watu wabara au Watanganyika hawatakiwi KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR lakn mzanzibar anaruhusiwa kugombea urais TANGANYIKA
RAIS SAMIA amewatoa mashekhe wanuamsho mahabusu lakn ameshindwa kuwatoa mashekhe mbalimbali ambao wapo magereza au mahabusu maeneo mablimbli Tanzania je Rais huyu yupo kwa maslah ya wazanzibar pekee Kama haki angetenda kwa wote
Tumeona pesa za covid zilizokopwa zimepelekwa had Zanzibar kujenga shule hospitali je mikopo wanayo kopa wenzetu wa Zanzibar lini ililetwa huku bara na sisi tukajenga shule na zahanati?
Huu muungano n wakuangaliwa kwa jicho la pili umekuwa wa kuwadekeza wazanzibar huku TANGANYIKA ikinyonywa
Hv kwann Zanzibar aendelee haraka na sio comoro au Mayotte iliyo chini ya ufaransa ?
Kuwalazimisha ni neno zito kidogo sababu mbona sasa hivi hatuwasikii, ila kwa ujumla huu muungano hatuna faida nao unatutia hasara tu na mbaya zaidi wazanzibari ni wabinafsi na wabaguzi, kule muislam wa Tanganyika nae anaitwa kafir tu.
Hv Comoro wamepiga hatua gan ? au kule wanaish wazungu? sometimesZanzibar ikiwa chini ya waarabu itaendelea kwa kac sana,,,ili ipae kiuchumi na watu wake wawe na maendeleo solution ni kuvunja muungano. Muungano hauna faida kwa wazanzibari
Mzalendo halisi is bull$hit. Nyerere alitoa nafasi Tanganyika kunyonywa na Zanzibar, hawezi kuwa mzalendo halisi.Mkuu jibidiishe kuelewa nature ya muungano wetu kwanza na ujue kwa nini wazee wetu including JK Nyerere( mzalendo halisi) waamue muungano uwe wa namna hiyo sio tu kutoa lawama zisizo za msingi kama mtoto wa kambo
Hv Comoro wamepiga hatua gan ? au kule wanaish wazungu? sometimes
acheni akili za kinyani
Kuwaza mwarabu atakuletea mambo ya maendeleo ni uongo tu
Labda zanzibar kubwaHv kwann Zanzibar aendelee haraka na sio comoro au Mayotte iliyo chini ya ufaransa ?