Kwanini Mpendazoe hakupewa mafao Zitto apewe?


acha uongoo zito ana kadi mpya na hata nambari ya kadi yake ni mpya na pia muuundo wa kadi yake ni wa hizi mpya

KADI ZA ZAMANI ZA ACT HAZIPO KAMA ILE NI KIPANDE KIMOJA
tatizo huna hata ushahidi wala huzijui unasukumwa na hisia tu zito kajiunga juzi kadi yangu ni ya awali na najua zilivyokuwa mwanzo na hzi version ingine ambayo na zoto kapewa
Nita attach picha ya kadi ya zamani ambayo ni yangu na kadi ya sasa ambayo ni ya zito
 
Hawa jamaa wa Bavicha wanataka Zitto alisafiri safari za kibunge atumie pesa zake.

Teh teh teh Bavicha bana.
 
Bado sipati majibu sahihi zzto kweli wewe nimzalendo?
Naunatetea sera za ujamaa? Kama hujui sarakasi usishiriki movei ya kichina watakuvunja mbavu.
Rudi kajipange upya sasa hv endelekucheza bongo move na kisimamii wasani tu.
 
Hawa jamaa wa Bavicha wanataka Zitto alisafiri safari za kibunge atumie pesa zake.

Teh teh teh Bavicha bana.

Haa ha ha hawa vijana matatizo kweli kweli.

Yaan wanataka Zitto atumie pesa zake kwenda kuliwakilisha bunge Rwanda lakini kwao wanaona sawa tu eti Mbowe na Joyce Mukya kwenda Dubai kuburudishana kimwili kwa pesa za Bunge.

Kati ya wanasiasa Tanzania wanajitahidi kutenda wanachosema ni Zitt😵na ata hili la posho ya vikao alibaki peke yake tu wakati wenzake waliokuwa wanapiga kelele sana kuwa pesa za kikao ni wizi mtupu lakini mpaka leo wanazichukua kama kawaida hizo pesa walizosema za wizi.

Mnyika yeye alijaribu kama mwezi mmoja hivi yakamshinda, kimyajimya akaanza kuchukua tena; Mbowe ndio aliita na waandishi wa habari kuwa hataki kutumia shangingi alilopewa, ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi baada ya waandishi kuondoka kimyakimya akalifuata shangingi na analo mpaka leo.Kutembea kwenye maneno sio jambo rahisi.Kwa hili Zitto nampongeza sana.
 

Teh Teh bavicha mmezidiwa hoja mnarukia kila mada sasa hapo unataka ajibu nini?
 
Last edited by a moderator:

Safi sana Mwami Zito,umejibu vizuri sana kwa kufuata maadili naamini watanzania wengi wameelewa kuwa una nia nzuri ya kutukomboa kupitia ACT.
 
Last edited by a moderator:
Cc Zitto njoo huku ujibu acha kuoga na tope!

Bavicha mna uwezo mdogo wa kufikiri hebu iangalie hiyo voucher mara mbili yana unshindwa kuona hiyo voucher haina sahihi na haija kamilika? Teh Teh Bavicha nani kawaroga? yani hiyo voucher fake ndio una shabikia? au huna macho?
 
Last edited by a moderator:

Meet a narcissist!

18 Signs You're Dealing With A Narcissist
 
Zito anaheshimika sana CCM hawawezi mnyima kiinua mgongo.Kafanya Kazi nzito ingawaje ilidunda lkn alijitahidi sema Chadema wanaakili sana wakamshtukia.
 
Zito anaheshimika sana CCM hawawezi mnyima kiinua mgongo.Kafanya Kazi nzito ingawaje ilidunda lkn alijitahidi sema Chadema wanaakili sana wakamshtukia.

Teh Teh naona baada ya hoja zenu zote kupanguliwa mmebaki kudandia kila hoja...hakika Bavicha ni mzigo kabisa..hata kusoma voucher kuna washinda Hahahaha Bavicha chaliiiii
 
Je ni nani hasa anawasiliti wananchi?
ni zitto anaeongea na kutenda
Au ni mbowe na wenzake wanaoongea na kuyaacha hapo hapo
nadhani hili neno usaliti liangaliwe katika nyanja hyo maana hli ni kati ya wapiga kura na wapiga kura na sio viongozi na viongozi
 
Ukita kuiba au kuuza madawa ya kulevya jiunge ccm utapata pesa nyingi sana kuna baadhi ya watu huwa wanasema ukiunga mkono vyama vya upinzani utafunguliwa kesi nyingi za uongo utatumiwa tar na kadhalika je ni kweli?

lendila;
Sintakaa nisahau maneno aliyo yasema Mh. Sumahe Fredrick pale Moshi aliposema; namnukuu; Ukitaka mambo yako yakunyokee njoo ccm.
Kutokea wakati huo, nimeangalia biashara nyingi za ajab ajab, mlangoni pana bendera kuubwa ya ccm. Polisi, TRA hawapiti mlango huo. Mtaa mmoja bendera 10 sijui hao ni wajumbe wa mtaa au jiji.
Nakubaliana nawe mia kwa mia. Naunga mkono hoja.
 
Hivi Yale Magari ya Mh Mkono ulishayarudisha ndg zitto?
 
Teh Teh naona baada ya hoja zenu zote kupanguliwa mmebaki kudandia kila hoja...hakika Bavicha ni mzigo kabisa..hata kusoma voucher kuna washinda Hahahaha Bavicha chaliiiii

unasumbuliwa na jini mahaba? hebu mwulize Hugo zitto ni IPI hatima ya masalia? naona wengi wao wapo njia kuu ccm na yeye yupo mchepuko act
 
Hata Mimi kama ningekuwa beneficiary wa ESCROW, $$$ za Uswis, Vitalu vya Gas, Bahasha za Mashirika ya Umma BOT, NSSF, Mafungu ya CCM ya Kuihujumu CHADEMA via A/c Maalum za TISS... nisingehangaika na Posho 24M kwa Mwaka, Nisingehangaika na Misamaha ya Kodi kamwe!!! Bora uwe kimya maana unaharibu Zaidi .. BTW, Mkakati wa kupunguza kura za UKAWA via Association of Criminals in Tanzania unafikiri itakujenga ama kukubomoa Zaidi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…