Kwanini mke hataki mimi ninunue nguo mpya?

Kwanini mke hataki mimi ninunue nguo mpya?

mbake tu mkuu.. huwezi tembea kama chokoraa aisee nakuunga mkono.. ila mkeo ni mbinafsi na ajiamaini


Aaah! yanini kubakana tena... kumkomesha atafute papuchi nje asimuombe miezi miwili !!
 
Kweli wanaume kazi tunayo, huyu nae mwisho wa siku anakaa anajisifu ni mwanaume ana familia, kaoa na anashindwa kupata suluhu kwa mambo kama haya? Wazee wetu pongezi nyingi kwenu
 
Back
Top Bottom