pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Kwa nini hutaki wakuzoee? Hujui hao wifi zako ni damu moja na mumeo? hii ni kwa mazingira ya kiafrica. Najua nchi za ulaya wao hawana kabisa uhusiano, tena wakati mwingine hata wazazi huwa mtoto akishakua basi hawana muda wa kuwa karibu hata kama mmoja anaishi manzese mwingine ubungo wanaweza kata miaka bila hata hamu ya kuonana. Ila africa siyo hivyo.Ndo mie sitaki wanizoee kabisa
Ndo mie sitaki wanizoee kabisa
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.
Nadhani wewe ndiye huelewi kwani Yesu Kristu alisisitiza upendo kwa watu wote. Unapomchukia mtu kwa kisingizio cha ndoa si kuwa mtakosa tu baraka bali pia hamuwezi kustawi kiroho (awe muislamu au mkristu).Mtu ataacha baba yake na mama yake na kuambatana na mke/mume wake...period!!!!!sasa hapo wifi anatoka wapi kwenye ndoa ya kaka yake? kwa andiko lipi?....ushetani usioonekana kwa kivuli cha ndugu.
Nadhani wewe ndiye shetani kwani Yesu Kristu alisisitiza upendo kwa watu wote. Unapomchukia mtu kwa kisingizio cha ndoa si kuwa mtakosa tu baraka bali pia hamuwezi kustawi kiroho (awe muislamu au mkristu).
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.
Nimekupata, ila sema nahamasika kuchangia pale ambapo naona sababu iliyotolewa na mchangiaji inakiuka misingi ya ukweli ktk nyanja zote za tamaduni za ubinaadamu. Karibu endelea kuchangia!Ila mkuu unaji-contradict mwenyewe. Wewe umeleta uzi acha sisi wadau tuujadili ili ufunguke na kupata mawazo tofauti humu jamvini.
neggirl, nimekuelewa. Ila sasa chanzo cha chuki ndiyo mi nashindwa kuelewa. Mimi kama mwanaume unaweza kukuta nawapenda sana wadogo za mke wangu, wawe wa kike au kiume. Ila kwa wanawake hii inakuwa tabu. Mfano, kama mke akijua unawasaidia wadogo zako haswa wa kike roho inamuuma sana, tena anakuwa anaona eti hatuwezi wasaidia wote, anakuwa na ile roho mbaya ile mbaya ya kutu kabisa. Sasa mi kinachonitatiza, kwa nini wawe vile?Pole sana mkuu.
Mara nyingi watu hawa ni ngumu kupatana sana.. (Big reason ni wivu) hasa kwa wale wakubwa na ni kimeo sana kama hawajaolewa.
Yani dada wanashindwa kuelewa kuwa kaka yao ameoa na kwamba kuna mipaka ya kumwa access na ukitaka hali iwe ngumu zaidi ni pale unapo mwignore wife..
Pia kama wife anajipendelea sana talk to her atambue kuwa hao ni wadogo zako na kwa njia moja au nyingine they deserve something from u.
Be very carefull n wise, usiruhusu dada wa run nyumba yako (kundi hili ni mojawapo ya watu wanaoharibu sana ndoa za watu hasa kama baba mwenye nyumba asipokaa kwenye nafasi yake vyema) Kama kuna ishu inayowahusu wao jadili na mkeo kwanza.
Pia kupunguza tatizo wasizoeana yani kila mtu awe na maisha yake.. Kama ni wadogo wanahitaji msaada wasaidiwe wakiwa kwa wazazi au boarding school.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums