pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.