Kwanini mke haelewani na wifi?

Wanawake wawili kukaa same house na attention ni mtu mmoja lazima kutakuwa na chaos no matter what, these people dont stand each other at all, hata wale wanaosema wanaelewena na their in-laws ni kwa sababu they dont live under the same roof!
 
Ukiwaendekeza sana wanawake watakukalia shingoni. Hii inahusisha wote dada na mke. Kina dada ukiendekeza kila wanachokushauri watakuvunjia ndoa. Kwani watataka wao ndo wawe waamuaji na wao wana ndoa zao. Tena usiombe kuwa na dada ambaye ndoa yake aliivunja kwa ukorofi wake, loh! Lazima uwawekee mipaka katika vitu vinavyohusu familia yenu tu lakini familia yako wasiiguse! Mke naye lazima awe anacontrol nyumba yake tu. Mambo yanayohusu familia yenu na dada zako ayaache. Kuna wake huwa wanataka wao ndo wawe wasemaji kisa ni wake wa kaka. Hapa hata mie napiga mtu! Lakini pia mke inatakiwa awe fair pande zote, kwa nini apende kusaidia ndugu zake tu, hapa mi huwa naumia kichwa! Huu ni ubinafsi wa aina gani? Pia kumbuka kwamba kabla hujaoa ulikuwa unawakumbuka kwa chochote, ukishaoa unawasahau na visa vinaanzia hapo. Ukiwa mwanaume wa ukweli hii haiwezi kusumbua.
 
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.
Wa mama wanapenda sana watoto wao wakiume.ukilleta mwanamke unampenda wewe kunakuwa na wivu cause unampenda mwingine sio mama ako kunakuwa mvutano.wanawake wengine wanaharibu wanaume wanakuwa na wivu wanawacontrol.kama Mimi mkesha wa krismas nilimwambia mume wangu nataka tuwe wawili tu tuwashe Moto ( fireplace) just two of us.tukazima simu wanangu walilala mapema kumwahi Santa .Duhhhh yaani asubuhi hizo message huyo mama mkwe alicharuka nikamfaata ni kamwambia he is my husband and I can do anything I want with him na nikamwambia aache kumcontrol mume wangu na nilivyosema hayo mume wangu alikuwa Mbele yangu .My husband is mine they need to get a life an d move on
 
Nadhani kuna umuhimu wa kubalance. Huwezi kumzimia cm mama yako mzazi. Kumbuka tunasisitizwa kuheshimu wazazi na Mungu. Unamharibu huyo mumeo, ningekushauri uje uombe msamaha, mlipaswa kuwajulisha ndugu na jamaa kuwa hamtakuwa mnapatikana kwa kipndi fulani na siyo kufanya ulivyo fanya.
 
Tatizo ndugu zangu kwanza wanawake hatupendani hilo kwanza na pili ni kwamba ma wifi huwa hawataki kukubali kuwa kaka yao kaoa so upendo mkubwa utakuwa kwa mke wake na familia yake ss mwanamke utafanyiwa kitu na kaka yao basi watataka nao wafanyiwe unavalishwa vzr tabu ss usiombe uchelewe kuzaa mama yangu hutaamni maneno yao kama kawaida utaambiwa unajaza cho na mengne mengi wifi mwenyew unashangaa hajawahi olewa hata ya kutoa nuksi tu lkn atajifanya yy ni yy anataka kuiendesha ndoa ya kaka yake kikubwa mwanaume akiwa imara kama SIMBA hakiyumbi kitu mbaya zaidi kuwe na matatizo kama hayo na mume awe legelege ndo mwisho wa ndoa. Nikija kwa mama mkwe hao ndo kabisa ukimkuta mama mkwe mkorofi ni balaa maana anakuwa nataka kila akifanyacho mwanae kwake basi nae lazima afanyiwe kwake ss asipofanyiwa sawa na kwa mtoto wake basi ndo bifu linaanzaia hapo.jaman wanaume mkiyumba nyinyi mjue hakuna ndoa
 
In this life, ulicho tayari kufanyiwa ndo ufanyie wenzio. Hebu fikiria wewe mwanaume, mkeo wanachukuana na kakake wanaenda kununua furniture za nyumbani kwako bila hata kukuhusisha uweke walau choice yako. Mnataka kununua kiwanja, kesho yake shemeji yako anakupigia anakuambia hapo shem sikubaliani na wewe, kule sio pazuri nunueni bunju (manake yeye kajenga bunju). Ukirudi kwako unakuta shemeji yako kajaa tele, kapigika kaamua aje apate ahueni kwako manake mkewe anamtesa ama wamegombana. Na akikaa kwako yeye ndo controller, landcruiser yako ndo anataka kutumia manake anapenda heavy cars, you can share kimama koku na mkeo. Remote yake, huwezi angalia mpira wala wrestling manake yeye anapenda kuangalia movie za kinaijeria. Na ndo muongeaji mkuu hapo ndani ukirudi clarks sandals zako ndo anazururia kila mahali.

Wanaume niambieni, utampenda huyo shemeji? hapo unakuta na dadake ndo anamsupport jumla. Na mkiingia chumbani kila usemacho unaambiwa kaka kajenga hivi, baba kasema tusiganye vile!
 
Hahaha, kwa hiyo kila wakati mnapoamua kuzima simu na kuwa na hot heated njunji tyme inabidi mamako atoe kibali? So the man doesnt have even the right over his own fone tena usiku!!!!!!!! Lord have mercy!
Nadhani kuna umuhimu wa kubalance. Huwezi kumzimia cm mama yako mzazi. Kumbuka tunasisitizwa kuheshimu wazazi na Mungu. Unamharibu huyo mumeo, ningekushauri uje uombe msamaha, mlipaswa kuwajulisha ndugu na jamaa kuwa hamtakuwa mnapatikana kwa kipndi fulani na siyo kufanya ulivyo fanya.
 
Hahaha, kwa hiyo kila wakati mnapoamua kuzima simu na kuwa na hot heated njunji tyme inabidi mamako atoe kibali? So the man doesnt have even the right over his own fone tena usiku!!!!!!!! Lord have mercy!
Hujanielewa. Kuna kipindi cha matukio muhimu. Kila mtu siku ya sikukuu anategemea kuwasiliana. Siyo kila wakati. Mi nilisema hivyo kwa sababu wewe unaelewa kabisa siku ya sikukuu huwa tunawasiliana na wazazi kutakiana heri ya sikukuu then unamzimia cm mama yako!
Unajua enzi za miaka ya zamani tulippkuwa chuo, jamaa mmoja aliwahi kusema vijana wa siku hizi ni wajinga sana. Akipata hela ya kununua cm na kuweka vocha, cha kwanza anampigia cm demu wake, then vocha ikiisha anambipu mama yake eti mama nipigie.
 
In this life, ulicho tayari kufanyiwa ndo ufanyie wenzio. Hebu fikiria wewe mwanaume, mkeo wanachukuana na kakake wanaenda kununua furniture za nyumbani kwako bila hata kukuhusisha uweke walau choice yako. Mnataka kununua kiwanja, kesho yake shemeji yako anakupigia anakuambia hapo shem sikubaliani na wewe, kule sio pazuri nunueni bunju (manake yeye kajenga bunju). Ukirudi kwako unakuta shemeji yako kajaa tele, kapigika kaamua aje apate ahueni kwako manake mkewe anamtesa ama wamegombana. Na akikaa kwako yeye ndo controller, landcruiser yako ndo anataka kutumia manake anapenda heavy cars, you can share kimama koku na mkeo. Remote yake, huwezi angalia mpira wala wrestling manake yeye anapenda kuangalia movie za kinaijeria. Na ndo muongeaji mkuu hapo ndani ukirudi clarks sandals zako ndo anazururia kila mahali.

Wanaume niambieni, utampenda huyo shemeji? hapo unakuta na dadake ndo anamsupport jumla. Na mkiingia chumbani kila usemacho unaambiwa kaka kajenga hivi, baba kasema tusiganye vile!
Hapo naelewa concern yako, ila mi nilichotaka kuongelea je pakiwa na wifi zako wadogo (form one au hawajaanza shule) au wengine wapo wapo tu, na wao hawana ugomvi (chukulia wale ambao hawajakulia mijini--yaani siyo wambea mbea). Je chuki ya nini kwa watu ambao hawajakuchokoza?
 
Kunakuwa hakuna chuki, ila wao wanakuwa na attitude mbaya tu na inajengwa na mama zao kwa sana. Nakaa na mdogo wako wa sekondari, afu nikimtuma kazi ama nikimgombeza kwa kuharibu kitu naambiwa namchukia! Sasa tunamleaje? Na mie namuona kam mdogo wangu, umefulia ama hata kama upo napita huko namnunulia nguo, namletea vitabu etc. lakini nikimsema unaona namuonea. Nikimuadhibu unaona namnyanyasa. Akitumwa kazi za kudeki, kukata fence ama kupika mnaona anatumikishwa. Kwani mie nikiwa secondary sikufanya kazi kwetu jamani? Attitude tu, ndo maana mwanamke anaamua anakaa kimyaaa, hatoi mia yake ili asisemwe. Mi nakaa na kijana wa ndugu yangu, nimeonana na mamake na babake wanashukuru sana na wananiambia akikosea mcharaze viboko akikushinda tuambie (kijana amemaliza form four, sihitaji kumchapa ila adhabu ni kisaikolojia. Nikikasirika kitu na kumchunia pocket money wiki mbili akose hata vocha anatia adabu). Sasa wazazi wananiambia nisimfuge mbele yake, ataacha kukaa kwa adabu? Lakini vipi kama ni mtoto wa wifi, si mamake anampigia amuulize lishangazi lako linasemaje? Ama mama mkwe ampigie amuulize mwanae liwifi lako linasemaje, lisikutumikishe mi sijazoea kutesa wanangu! Na kama support inatoka kwa mume pia, kuwa usitume kazi wifi zako? Unadhani nini kitaendelea?

King'asti muke ya Paw umenena mama.......

Imagine ukikmtuma kazi unaambiwa unamnyanyasa, tena unaitwa kikao na mama mkwe! Unatangazwa ubaya ukoo mzima. Mwisho wa siku unaamua liwalo na liwe humtumi, kumwelekeza wala kumkanya ndg yao after all unajiuliza akiharibika hasara SI YAO?
 
Last edited by a moderator:
Mie nna shida basi? Asiponioshea gari naenda kuoshewa ofisini, ile hela ya kumpa ya vocha ndo namlipa mlinzi wa ofisi! Mara nyingi malezi ndo yanachangia shosti. Mi na kakangu ni mashostina tunaongea umbea dunia nzima na hatusutwi. Wakati akioa mama aliniweka kikao kabisaa, nipunguze ukaribu na kufuatana. Na najitahidi ili wifi asijisikie vibaya. Nikiwa chuo nilikuwa nikienda kwa kaka hataki kulala. Tuongee umbea hadi saa nane za usiku. Nikajistukia, wifi akiaga anaenda kulala na mie huyooo naenda kuchat na Paw wangu (tumetoka mbali aisee, hata beep tu ilikuwa inanisuuza roho). Kama ningepata support ya mama nna hakika wifi yangu angeniona adui. Ila ndo mashosti mbaya kabisa!.
King'asti muke ya Paw umenena mama.......

Imagine ukikmtuma kazi unaambiwa unamnyanyasa, tena unaitwa kikao na mama mkwe! Unatangazwa ubaya ukoo mzima. Mwisho wa siku unaamua liwalo na liwe humtumi, kumwelekeza wala kumkanya ndg yao after all unajiuliza akiharibika hasara SI YAO?
 
Aisee sijui ni sababu gani jamani,
Unaweza mchukua mdogo wako wa kike au mama yako aje kusabahi kwako, kwanza mke atauliza wanakaa siku ngapi?tatizo tayari, pili wape siku tatu kama haujapata malalamiko kwa mama basi ni kwa wife,, mwisho wa siku utasikia wife anauliza kwani mama anaondoka lini? Au mama anakwita chemba mwanangu mie nataka kwenda nyumbani nimechoka..
MWANAMKE KWA MWANAMKE HAWAAMINIANI, HAWAPENDANI KAMWE Nb: si vyema kumwambia mama/wife juu ya madhaifu ya mmoja wao.
 
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.

mtoa mada hapo bold kwann ukimbilie kuuliza ni ujinga wa wake?? kwann usingeuliza ni ujinga wa mawifi?? ama ni ujinga wa wanawake?? why uanze kuona kwamba mke ndio tatizo??

sasa jua kwamba hili tatizo halina jibu moja lina majibu lukuki ncluinding wewe mwanaume kuwa sosi. Kaunga kasema kweli na nampa baig up kwa hilo. sitayarudia tena haya ila nakupa mbinu ya kutatua tatizo.

as a man toka na mkeo mkaisha mbali na ndugu zenu, halafu uone kama mtagombana. shikamana na mkeo ukijua kwamba huyo ndio wewe hivyo mtu wa pemben asipate nafasi. ondoka kwenu kiisia na kifikra na hata kimaamuz baada ya kutoka kimwili. usipendelee maamuzi ya kupewa na dada zako ama mawazo na fikra za kushikiwa na dada zako.
 
Last edited by a moderator:
Kunakuwa hakuna chuki, ila wao wanakuwa na attitude mbaya tu na inajengwa na mama zao kwa sana. Nakaa na mdogo wako wa sekondari, afu nikimtuma kazi ama nikimgombeza kwa kuharibu kitu naambiwa namchukia! Sasa tunamleaje? Na mie namuona kam mdogo wangu, umefulia ama hata kama upo napita huko namnunulia nguo, namletea vitabu etc. lakini nikimsema unaona namuonea. Nikimuadhibu unaona namnyanyasa. Akitumwa kazi za kudeki, kukata fence ama kupika mnaona anatumikishwa. Kwani mie nikiwa secondary sikufanya kazi kwetu jamani? Attitude tu, ndo maana mwanamke anaamua anakaa kimyaaa, hatoi mia yake ili asisemwe. Mi nakaa na kijana wa ndugu yangu, nimeonana na mamake na babake wanashukuru sana na wananiambia akikosea mcharaze viboko akikushinda tuambie (kijana amemaliza form four, sihitaji kumchapa ila adhabu ni kisaikolojia. Nikikasirika kitu na kumchunia pocket money wiki mbili akose hata vocha anatia adabu). Sasa wazazi wananiambia nisimfuge mbele yake, ataacha kukaa kwa adabu? Lakini vipi kama ni mtoto wa wifi, si mamake anampigia amuulize lishangazi lako linasemaje? Ama mama mkwe ampigie amuulize mwanae liwifi lako linasemaje, lisikutumikishe mi sijazoea kutesa wanangu! Na kama support inatoka kwa mume pia, kuwa usitume kazi wifi zako? Unadhani nini kitaendelea?
Hapo nakubali kwa 100%. Nadhani na sisi wanaume tunahitaji kuwaelewesha ndugu zetu. Ila issue nyingine inatokea kwa mfano. Mume awe na wadogo zake anaishi nao nyumbani. Inatokea siku moja ma dogo wanambishia au wanaunda vikundi vya kumsema wifi yao. Halafu mke hakuelezi kilichotokea, kila siku ukirudi home kimya kimya tu, si wadogo zako wala si mke anayeeleza kilichotokea. Ktk ukimya huu wote wanakuwa wanalipiziana visasi. Mpaka inatokea siku moja unaibuka ugomvi mkubwa baina yao. Sasa tatizo hapo ni nani? Mke au wadogo za mme?
 
mtoa mada hapo bold kwann ukimbilie kuuliza ni ujinga wa wake?? kwann usingeuliza ni ujinga wa mawifi?? ama ni ujinga wa wanawake?? why uanze kuona kwamba mke ndio tatizo??

sasa jua kwamba hili tatizo halina jibu moja lina majibu lukuki ncluinding wewe mwanaume kuwa sosi. Kaunga kasema kweli na nampa baig up kwa hilo. sitayarudia tena haya ila nakupa mbinu ya kutatua tatizo.

as a man toka na mkeo mkaisha mbali na ndugu zenu, halafu uone kama mtagombana. shikamana na mkeo ukijua kwamba huyo ndio wewe hivyo mtu wa pemben asipate nafasi. ondoka kwenu kiisia na kifikra na hata kimaamuz baada ya kutoka kimwili. usipendelee maamuzi ya kupewa na dada zako ama mawazo na fikra za kushikiwa na dada zako.
Samahani kwa kutumia neno hilo la "mjinga". Ila nilimaanisha mke anayeendekeza ugomvi pasipo na sababu. Mazingira niliyochukulia ni yale yenye "all people are ignorant under a corporate veil" Kwamba hujawahi kujua kama wifi zako ni wakorofi, ila wewe unaanzisha kuwachukia tu wifi zako bila kuangalia mazingira yao.
 
Back
Top Bottom