Kwanini Mkapa aliitwa Mr. Clean? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Mkapa aliitwa Mr. Clean?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jun 22, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana mbona ana madoa mengi ya tope? Epa, mikataba mibovu kila sehemu, uwekezaji wa kupumbavu, lkulu kampani limitedi, na uozo mwingi, je huo usafi wake uko wapi?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hakujiita mr clean, bali ni media chovu za kibongo ndio zilikuwa zinajikomba kwa kumuita mr clean, kumbuka tulivyouziwa mbuzi kwenye gunia kuhusu Kikwete, tuliaminishwa kwamba ni Nyerere mwingine ametuletea mungu, na ndipo akabatizwa jina la JK.
  Na waandishi uchwara hawahawa wakatakulazimisha Taifa stars iitwe JK Boys. hii ndio njaa ya waandishi wetu, ambao waliogopa hata kumpiga picha yule mwarabu mwenye mitambo ya dowans.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ni msafi tena mpaka sasa, kwasababu anaoga kila siku, ananawa mikono akitaka kula na anaishi mahala safi
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ananafanana na yule bonge wa kwenye movie ya Mr Clean..
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mkapa kujiita/kuitwa Mr Clean ni kibwagizo tu km vilivyo vingine vya maisha bora kwa kila mtanzania ilihali maisha yanazidi kumzomea mwananchi wa hali ya chini huku wenye nchi maisha yakiwachekea tu....Hiyo ni slogan ya kuganga njaa kwa waliopachika huo "u mr Clean"
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni ujinga wa media,hatuna journalists!
  Wengi walisoma TSJ,ambayo ilikuwa propaganda ya chama tawala na serikali!hakuna independence ya mawazo!

  Mkapa ndio alinunua ndege,Kiwira na majanga makubwa yote yalikuwa kwenye wamu yake.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  aliitwa alipoingia ikulu na nyerere.
  alipoanza madudu watu tukakaa kimya na kumwacha na hilo jina.
  nafikiri halina shida kwani ni jina tu kama m2 anavyoweza kuitwa god haina maana kwamba ni mungu.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  Mkapa alimdanganya nini Nyerere? Huyu jamaa ni msanii lkama Kikwete kama CCM ya leo na ijayo.
   
 9. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Alipewa jna hlo ktokana na hstoria nzur ya nyuma ktk utumishi wa umma!alifanya kaz karbu na Mwalim kwa mda mrefu sana,lkn pia ukmbuke alikuwa Mwanafunz wake pale Pugu!...ndo mtu pekee alyekuwa na uwezo wa kum-challenge Mwalim ktk vikao vya ndani....Poor Mkapa!!alipopewa madaraka wat waliomznguka walimsonga sana..wakamshaur vbaya na mpaka leo anajuta....lakn 2tamkmbuka kwa kumaintain uchum we2 to single digts,kujenga miundombinu na auhen ya maisha..
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hana cha usafi chochote.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  kwa uchumi tu, hata mi namkubali, hela yetu ilikuwa stable, hata bidhaa madukani hazikupanda bei kwa mioaka kumi, na hata nauli za daladala zimeanza baada ya Mukwere kuingia madarakani.
   
 12. s

  sativa saligogo Senior Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye kama yeye ni clean na ali-maintain !! lkn ktk ccm coz mfumo mbaya akizungukwa na wasaidizi mafisadi ndo alipoteza credibillity yake!! Hali hii yaweza kumpata hata dr slaa endapo atakuwa rais coz popote dunianiktk utawala surbodnates ndo mchinery kiutendaji !! hata mwl alivurugwa ktk sera zake alizosimamia na maswahiba wake kama ilivyo kwa Ben, kauli hailaumiwi lkn matendo huumiza!!!!
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  hakukosea alipowaita wana wivu wa kike
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hata mataifa ya mengine wanamjua sio clean ndio maana alikosa ile mizawadi ya MO Ibrahim.
  amefanya biashara ikulu,amejiuzia mradi wa kiwira,EPA, skendo nyingi sidhani kama hata mlango
  wa Mbingu ataenda huyu kama hatarudisha hela alizokwapua na kutubu kwa Watanzania
  ( sio namhukumu ila ukweli upo wazi, hapa namsaidia atubu afikie mlango wa uzima.
  kushirikiri kwake jubilee za maaskofu hakutoshi kumpa rehema au kusamehewa dhambi zake.
   
 15. H

  Hard boy Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa ndiye alibinafsisha mashirika ya umma na mikataba isiyonufaisha wananchi. Hao waliompa jina la Mr clean walikuwa walaji wenzake.Mimi sifikiri kwamba kipindi cha mkapa kulikuwa na unafuu wa maisha.Tusidanganyane. Hela yetu tangu kipindi cha mwinyi haikuwa na thamani hadi sasa.Ninakumbuka kipindi cha Mkapa,Sh.elfu moja ilikuwa ni sawa na dolla moja ya klmarekani.Sh. Kumi (10)iwe sawa na dolla moja (1)hapo ndipo nitakapojua uchumi unakua.CCM wote ni wafisadi iwe JK ,iwe Mkapa.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  Utajiri wote aliojilimbikizia sijui unamsaidia nini sasa!!!!!!????????
   
Loading...