- Thread starter
- #21
Acha kuingiza udini mkuu, mada yangu utaihalibu lengo sio hilo, kwanini mnakua too obsessed na dini?Mwmba anasema kuna uhusiano gani ya pepo na walokole sasa ajue kuwa hata waislam wana mapepo tu, aache chembe chembe za figusu figusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]