Kwanini mizimu pepo majini hushika watu masikini tu?

Kwanini mizimu pepo majini hushika watu masikini tu?

Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? wana saikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.

Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na majini au ananena kwa lugha, mbona wengi hao matajiri hawalogwi wanakufa kwa pressure kisukali moyo na ajali nk.

Wakati upande mgine kufa kwa uchawi madawa mapepo nk. Simanishi kwamba uchawi haupo upo kabisa lakini kwanini unabagua wakushika?View attachment 3157624
Ukitaka kujua kama na wao wanapandishaga au hawapandishi njooni vilingeni, utaona ndinga zinavyoingia na kutoka.
Kiufupi na wao maswahibu hayo huwakumba, sema wenzenu akishakumbwa kafungiwa kwenye gari kapelekwa kwa mganga bila ninyi kujua .
Kutibiwa anawahishwa mapemaa maana hawazi akiagizwa vitu pesa ipo vikapatikana.
Vilevile matajiri wengi wamejiganga wako full kinga wanazo washawekwa sasa kuja kutupiwa vishetani vya jero jero havinsogelei.
 
Haya ni mambo ya siri sana kama ujapata kufuta njia ya kuyapitia!!
 
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? wana saikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.

Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na majini au ananena kwa lugha, mbona wengi hao matajiri hawalogwi wanakufa kwa pressure kisukali moyo na ajali nk.

Wakati upande mgine kufa kwa uchawi madawa mapepo nk. Simanishi kwamba uchawi haupo upo kabisa lakini kwanini unabagua wakushika?View attachment 3157624
Gwajima anaswalisha msikiti gani? Maana huwatoa majini wafuasi wake
 
Unathibitisha vipi hicho unacho kiita uchawi ni uchawi kweli na si kitu kingine?

Uchawi ni nini?
Uchawi ni jambo kufanyika lisionekana kwa macho ya kawaida kwa watu kinachofanywa au kuwa na uwezo wa tofauti na binadamu, wengine na kushindikana kuelewa nguvu inakotoka??
 
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? Wanasaikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.

Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na majini au ananena kwa lugha, mbona wengi hao matajiri hawalogwi wanakufa kwa pressure kisukali moyo na ajali nk.

Wakati upande mgine kufa kwa uchawi madawa mapepo nk. Simanishi kwamba uchawi haupo upo kabisa lakini kwanini unabagua wakushika?

View attachment 3157624
Kwa kauli hii ya Mugabe tusemeje kuhusu Waislam kiujumla na majini yao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom