Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Ujumbe umewapata wenyewe hata mie baada ya kupitia nimeona nimechanganya madesa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pole mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe umewapata wenyewe hata mie baada ya kupitia nimeona nimechanganya madesa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pole mkuu
Labda awe hajaamua kuchepuka kuna wengine ndugu wee hawategeki hata ufanye nini bali ni jinsi gani anamdhamini mkewamama jifunzeni kupendeza jamani
Yaani ukijipamba vizuri ukawa sexy na sauti yako laini kwa mmeo mbona utadekezwa kama mtoto?
wanaume tunavutiwa machoni..ukishamteka machoni pake basi hachomoki....na zile sauti za mahaba na kudeka tena saaah...[emoji23][emoji23][emoji23]
...sasa ww unajiremba siku ya send off ya shoga ako hivi nitakutamani kweli?
kingine msibweteke ovyo mkiolewa. hatupendi mavitambi yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wenyewe vitambi vyao vya bia wake hawalalamiki kwa watu bia zenyewe za ofa [emoji33] [emoji33] [emoji33]Tunafahamu yote hayo. Mtupe moyo basi, shirikiana na mkeo kurudisha mwili wake wa zamani, yaani ni kama mnatususia hivi, mwambie mama watoto apunguze mwili uone km hatafanya hivyo..tatizo unamuangalia tu jinsi anavyonenepeana humwambii chochote unaenda kulalamika pembeni.
umenichekesha. Na vinakera kweli kweli..Ila wenyewe vitambi vyao vya bia wake hawalalamiki kwa watu bia zenyewe za ofa [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mume wa mwenzako.
tehe tehe teheNa ukimwi wao nao huwa mtamu kwelikweli..