Kwanini michepuko ni watamu sana?

Kwanini michepuko ni watamu sana?

Habari zenu wadau wa JF.!

Kuna hili swali huwa najiuliza lakin sipati jibu huenda humu nikapata jibu. Aisee hawa michepuko ni balaa unapo kuwa nae hasa 6 kwa 6 nakwambia wana mambo adimu sana kwenye suala la mahaba.Kiuno kinazungushwa utafikili wanataka kujamba ,aisee acha niishie hapo !!!
"Azinie na mwanamke hana akili kabisa kwani ataka kujiangamiza mwenyewe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamu ni fikra zako tu, Huyo mkeo jaribu kubadilisha venue uone.
Toka naye nenda hotelini

Kama uko dar fungal safari na mkeo nenda morogoro chukua hoteli kaa Sikh kadhaa huko zima simu, mdandie Mchana kweupee na jioni aaaa we mwenyewe utaona mchepuko nuksi
 
Hawana muda wa kujiongeza, kufanya hivyo anaona hasara bora amtoe out mcheps
 
Habari zenu wadau wa JF.!

Kuna hili swali huwa najiuliza lakin sipati jibu huenda humu nikapata jibu. Aisee hawa michepuko ni balaa unapo kuwa nae hasa 6 kwa 6 nakwambia wana mambo adimu sana kwenye suala la mahaba.Kiuno kinazungushwa utafikili wanataka kujamba ,aisee acha niishie hapo !!!

acha uroho mkuu
 
Kwa sababu mapenz yamepungua kwa mwenza wako
Sio kweli. Wengi wanaochepuka bado wanawapenda wapenzi wao.
Kinachofanya mcheps awe mtamu ni vile hukai nae muda wote mnakutana kwenye starehe tu, hakuna muda wa kugombana ni full mapenzi, mcheps anajiandaa fresh anavaa vzr, ananukia.
Sasa mume na mke mmezoeana, mnajambiana na kila kitu unamchukulia poa mwenzio.
Na mcheps huyo huyo kwa mume au mke wake si mtamu.
Sidhani kama kuna ambae ameoa au kuolewa na mcheps wake akatulia asichepuke tena.
 
Dah aisee! Michepuko wanakuwaga watamu kwasababu wanafanya kila liwezekanalo ili wakuteke umsahau mkeo, mfano; unatoka kazini kurudi nyumbani mkeo hakupokei hata mfuko uliorudi nao na wala hakukaribishi' wakati mchepuko atakupokea, atakuvua viatu na soksi na atakukaribisha pia. Sasa kwenye sheshi*sheshi mchepuko huwa wanazungusha viuno kuliko wari wa kimakonde!!

Jamii Forums mobile app
 
Fact
 
Hiv wari wa kimakonde ni noma???
 
Habari zenu wadau wa JF.!

Kuna hili swali huwa najiuliza lakin sipati jibu huenda humu nikapata jibu. Aisee hawa michepuko ni balaa unapo kuwa nae hasa 6 kwa 6 nakwambia wana mambo adimu sana kwenye suala la mahaba.Kiuno kinazungushwa utafikili wanataka kujamba ,aisee acha niishie hapo !!!
Kila Mara mkewangu anapika ugali na mboga mchanganyiko ila nikila ugali huohuo hotelini nafarijika Sana thijui kwa nn bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom