Habari zenu wadau wa JF.!
Kuna hili swali huwa najiuliza lakin sipati jibu huenda humu nikapata jibu. Aisee hawa michepuko ni balaa unapo kuwa nae hasa 6 kwa 6 nakwambia wana mambo adimu sana kwenye suala la mahaba.Kiuno kinazungushwa utafikili wanataka kujamba ,aisee acha niishie hapo !!!