Kwanini "michepuko" ihalalishwe kwa wanaume?

Ikishahalalishwa, then itakuwa ikifanyika salama na kwa umakini ili kuepuka magonjwa. Na pia itapangwa ratiba au mazingira maalum ili hiyo "quality time" isiwe affected.
 
Ikishahalalishwa, then itakuwa ikifanyika salama na kwa umakini ili kuepuka magonjwa. Na pia itapangwa ratiba au mazingira maalum ili hiyo "quality time" isiwe affected.
I know what I am talking about, kuna familia jirani nilipokuwa mdogo, baba alikuwa mfanyabiashara maarufu tu, alikuwa na wake wane, mmoja alimnunulia nyumba jirani na kwetu. Mizunguko ya yule baba ilikuwa ni siku nne kila nyumba, piga mahesabu 4x4 ndiyo unamuona tena mume. Wengine walianza kuchepuka, haijulikani aliyeleta HIV ni nani lakini ilikuwa ile miaka ya 90, waliondoka wote.
 
Be honest, unagegeda kila siku Monday to Sunday?
Narudia tena, mwanaume akiwa kwenye hali ya kawaida bila ugonjwa ama msongo wa mawazo, yupo tayari kugegeda MUDA WOWOTE.
Halafu wanaume tuna tabia moja ya ki-primitive sana, mwanaume anaweza kugegedana na mwanamke wake hadi akawa exhausted kiasi cha kumtabiria kifo, lakini ikitokea mbunye nyingine mpya sijui hata nguvu zinatoka wapi, utadhani ni mwaka umepita bila kugegeda.
 
Ndio maana nimezungumzia sana michepuko, sio ndoa.
 
KWANI UKINUNUA KUKU WANUNUA JOGOO WANGAPI NA TETEA WANGAPI? ( LAZIMA JOGOO MMOJA TETEA 3)AU JOGOO 2 TETEA HATA 6
 
ndio maana nikasema mwanaume akichepuka sio kwamba hakupendi bali ni anatimiza mahitaji yake kimwili kadri inavyombidi. but mwanamke akichepuka jua hakupendi
 
True.halafu ainaga mazinguzi
 
Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani
 
Laiti mngejua ni kiasi gani mtu unaumia ukigundua mwenzi wako anachepuka...mngeacha hata kufirikiria habari za kuchepuka....
Ndo hapo ujifunze namna ya kutenganisha hisia zako za maumivu na nyege za mtu rijali.
 
Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani
Hivi huyo mama mwenye wajukuu mnapiga story, what do you have in common to talk about? Au mkikutana ni shughuli moja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…