Bado ninapinga mkuu, kwanza kuna risk ya kuambukizana magonjwa, pili ni quality time ya kuwa na mke wako utaipata saa ngapi? Ninadhani dhana nzima ya kuwa na mke mmoja ilikuwa sehemu ya socialization au ustaarabu na kuhakikisha mali inakuwa controlled katika kundi la familia pia dini. Kwanini kule Cana Yesu asifungishe ndoa ya wake wengi?
I know what I am talking about, kuna familia jirani nilipokuwa mdogo, baba alikuwa mfanyabiashara maarufu tu, alikuwa na wake wane, mmoja alimnunulia nyumba jirani na kwetu. Mizunguko ya yule baba ilikuwa ni siku nne kila nyumba, piga mahesabu 4x4 ndiyo unamuona tena mume. Wengine walianza kuchepuka, haijulikani aliyeleta HIV ni nani lakini ilikuwa ile miaka ya 90, waliondoka wote.Ikishahalalishwa, then itakuwa ikifanyika salama na kwa umakini ili kuepuka magonjwa. Na pia itapangwa ratiba au mazingira maalum ili hiyo "quality time" isiwe affected.
Narudia tena, mwanaume akiwa kwenye hali ya kawaida bila ugonjwa ama msongo wa mawazo, yupo tayari kugegeda MUDA WOWOTE.Be honest, unagegeda kila siku Monday to Sunday?
Naunga mkono hoja michepuko uhalalishwe kwa wanaume na wanawakeMkuu hii umecopy sehemu au umeandika mwenyewe?
Ngoja nisubiri maoni ya Heaven Sent kabla sijatoa msimamo wangu.
Najua mama mchungaji Evelyn Salt ataunga mkono hoja.
I know what I am talking about, kuna familia jirani nilipokuwa mdogo, baba alikuwa mfanyabiashara maarufu tu, alikuwa na wake wane, mmoja alimnunulia nyumba jirani na kwetu. Mizunguko ya yule baba ilikuwa ni siku nne kila nyumba, piga mahesabu 4x4 ndiyo unamuona tena mume. Wengine walianza kuchepuka, haijulikani aliyeleta HIV ni nani lakini ilikuwa ile miaka ya 90, waliondoka wote.
Naunga mkono hoja michepuko uhalalishwe kwa wanaume na wanawake
Umenena vyema mdogo anguMwanaume kuwa na mchepuko sio kesi, kesi inaanza pale anapojisahau na kuanza kumuonyesha mkewe dharau.
We kuwa na mchepuko lakini heshima iwepo basi
Mkuu kwani hapa tunaongea lugha gani? Kiswahili ukihalalisha mchepuko ina maana ni ndoa.Ndio maana nimezungumzia sana michepuko, sio ndoa.
Mkuu kwani hapa tunaongea lugha gani? Kiswahili ukihalalisha mchepuko ina maana ni ndoa.
True.halafu ainaga mazinguziKiuhalisia mwanaume kuchepuka sio basic need bali ni necesary need .. Lkn ili kulinda dhana ya mchepuko wife hatakiw sio tu kujua bali hata kuhis kama kuna kitu kama hicho kinaendelea na inanoga zaid pale unaechepuka nae nayy pia anakuconsider ww kama mchepuko wake yaan awe mke wa mtu hapo mtakua salama saaaana coz kila mtu anaenda kwa tahadhari akizngatia kutokuharibu ndoa yake....
Always kuchepuka kunaleta game flan hv amazing coz kila mtu anajitahid kumfunika huyo anaemuibia
Mie DadakoUmenena vyema mdogo angu
Ndo hapo ujifunze namna ya kutenganisha hisia zako za maumivu na nyege za mtu rijali.Laiti mngejua ni kiasi gani mtu unaumia ukigundua mwenzi wako anachepuka...mngeacha hata kufirikiria habari za kuchepuka....
Hivi huyo mama mwenye wajukuu mnapiga story, what do you have in common to talk about? Au mkikutana ni shughuli moja tu?Hapa mimi mwenyewe nina mmama wangu mtu mzima tena ana wajukuu nyumba ya pili hapo nachepuka nae kiroho safi na mmewe yupo.ikihalalishwa mimi nahamia huko mazima na kwangu ahamie yeyote tu nitakua naenda kusalimia tu...mchepuko mtamu jamani